Watu weupe wanatuzidi ujanja,pesa,akili pia na technolojia,na wanatumia haya madhaifu kutunyanyasa Sana,maana sis watu weusi tuna njaa haraf pia tunasalitiana Sana,mtu mpaka anawatukana matus ya namna hyo huwez kujua nin kinampa jeur,weupe weng huku wanakuja Kama mabeberu,hivyo huwa Yana mitandao mirefu Sana. Nawahakikishia hata myapeleke wap hamuwez mkayashnda,yaan had viongoz wanayaogopa kabisa!!! Magufuli ndie alikuwa kiongoz pekee ambae alikuwa hawaogopi Hawa jamaa. Watanzania tunadanganywa kwa vitu vidogo ili tuweze kusaliti watanzania wenzetu!!!
Kwa ushaur wangu nawaomba muachane nao tu,yaan endeleen na shughur zenu tu,maana mtapoteza muda bure tu na mwishowe hamtaambulia kitu.