DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ostabey polisi kituo cha rushwa na ujambazi kwa matajiri !.
we ukitaka kujua yote kuwa maskini
 

Attachments

  • Screenshot_20220902-233942_Google.jpg
    Screenshot_20220902-233942_Google.jpg
    74.1 KB · Views: 3
We nawe unakurupuka kama unakunya kwenye ndoo ya unga! Au ni kibaraka wa hao Mayemen?balance shob* basi.Mwenzio anahitaji Msaada uko hapa na kitechno chako kujipu sht
Acha wajinga usije ukawa mjinga kama yeye hawa watu wamechanganyikiwa maana walidhani chuoni watafundishwa kilugha sasa walipo fika chuoni wakakuta ndivyo sivyoo.
 
Sasa jinai ipo wapi? Hamjielewi! Elimu elimu elimu
Hujakosea ila shukuru wewe una elimu ya kukutosha upate kazi nzuri na pia shukuru unaweza kudadavua jambo mapema na shukuru hupatiwi shida kijana .
Maisha watu hutofautiana so kama wewe hupitiagi shida basi kaa kimy sometimes kama unaelimu basi nikwa faida yako sio ya wengine na ndio walifikia hapo walipo
 
Siku ya Hukumu yule Bosi hakutokea ila sisi washtakiwa wote 12 Tulitokea, MUNGU ni Mwema Tulishinda Kesi na kuachiwa Huru!

Yule Bosi Kakata Rufaa July 23. Kesi Ikapangwa August 24 ila Kwa Bahati Mbaya hatukusikia kesi yetu Kuitwa hivo Imesogezwa mpaka September Mwishoni.

Kule CMA matumaini ya Kulipwa hela zetu hakuna wanatusumbua sana na wanaapa Hatutopata hata 100. Wanasema Kheri wahonge kuliko kutupa Sisi Haki zetu.

Na pia Wafanyakazi Wapya Pale Mgahawani baada ya Sisi kuondoka wanatishiwa kwamba kuna wenzenu hapa walijidai kwenda Kutufungulia kesi Mahakamani, Kesi imeisha na Hela zao wamekosa!! Na anasema kila Tukishinda Atakata Rufaa mpaka Tuchoke wenyewe Tusamehe hela zetu ila Yeye Hatulipi Ng’o!

Wakuu tunaomba Msaada wenu Hapa miongoni mwetu kuna watu wa Vitengo tofauti kulikua na Supervisor,Cashier,Waiter/Waitress, & Cleaners. Wengine Mpaka Leo Hatuna kazi, maisha Magumu tuna watoto, mmoja Single Mother ukiskia story yake machozi yatakutoka, huku tunasumbuliwa Mahakamani, Polisi Walitutenda Kutufungulia Jalada la Kesi wakati Ukweli wanaujua Hatuna Hatia, Watu wengi sana wamedhulumiwa na Hawa Bosi zetu kabla Yetu Sisi na wengine wamelipwa Mishahara Pungufu wakamuachia Mungu
✓Hebu sema ukweli Wewe Kama wewe unawadai sh.ngapi?Inavyoonekana huyo jamaaa mwarabu Ni ngumu kuwalipa chenu

✓Achana na hizo hela maana hizo kesi zinazidi kula chenu kila kukicha,fungua ukurasa mpya pambana na mengine,maisha siyo kwa waarabu tu
 
Mpka sasa huu uzi nmeusomaz nmeona masononeko na maumiv ya watanzania wengi kuhusu huu unyanyasaji.
More than 100 comments, but nafkiri its high time kuongeza nguvu. Sisi tulioko JF wote hatuez kuandamana pale nje lakn tuna nguvu kubwa ya mtandao. Kama tungeweza kwenda kueka uchungu wetu hapo kwenye comments za huo mgahawa ingekua rahisi dunia nzima kuona huo ufedhuli.
Rather than being angry hapa, hebu twende kwa pamoja tukaanzishe tifu huko kwenye page yao ili kumsupport mwenzetu na pia kuifungua macho dunia kuhusu hii injustice
 
Tungesikia na upande wapili wa mshitakiwa otherwise tutajichumia dhambi bure kuamini upande mmoja bila kujua upande wa pili pia.

Nasaha yangu Kwa wale wanaodhulumu na kudhulumiwa👉🏽usidhulumu wala usikubali kudhulumiwa, hakika Mungu hapendi dhuluma.
 
Afu kuna mpumbavu mmoja humu alikua anawatetea hawa mbwa koko,eti wana utu sijui hofu ya Mungu hatar sana,,,,,,hawa si watu wazuri kufanya nao kazi kabisa sema umasikini inabidi ukomae,,,,asilimia 100% huwa hawatoi mkataba,,mishahara midogo kazi nyingi na wanaubaguzi hawa washenzi basi tu,,,! Kuna dogo alikua anafua na kupiga pasi jamaa walikua wanampa nauli na chakula tu sitaki hata kuwasikia hao!
 
Ungefungua thread na kwenye tweeter pia
 
Back
Top Bottom