Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliwafanya ni nini?Aiseeee Mimi huwa sivumiliagi huo Ujinga, Kuna NGO iliwahi kuwa kubwa sana sana Tanza-nia, nilichowafanya.......basi niishie hapa.
NB: USI MSINDIKIZE MTU KWENYE UTAJIRI.Aiseeee Mimi huwa sivumiliagi huo Ujinga, Kuna NGO iliwahi kuwa kubwa sana sana Tanza-nia, nilichowafanya.......basi niishie hapa.
MKUU MIMI KWENYE UTAJIRI SI MSINDIKIZI MTU.Kwa sababu Watanzania tumezidi uoga WA KIPUUZI.
Mimi mwezi mmoja tuu huwezi zidisha bila kunilipa. Ni Bora nikose kazi
Kosa ni kutorekodi matukio hayo.
Mngerekodi kila tukio na matusi yake hayo dhidi ya ninyi.
Pili mlikosea kwenda Mamlaka Moja tu.
Mngekwenda Immigration na ushahidi wenu huo kwamba kwamba huyu mwamba kadha wa kadha.
Huku pia mkiwahi kuripoti polisi.
Mngeona kama hatua zisingechukuliwa
Ila kwa Sasa ni kupoteza muda tu na zitabakia tuhuma
Angekuwa deported within 72 hours na kuwa prohibited immigrant
Na pesa zenu mngelipwa
Waende kwenye social media.Mnaweza kumwandikia mkuu wa wilaya na kumweleza kuvunjwa kwa haki zenu na namna anavyoendesha mgahawa ili muweze kupewa haki zenu
Mnaweza kumwandikia waziri au naibu wa ajira namna huyo mtu anavyowatesa na kuwanyima haki zenu
Pia kama issue ipo CMA kazeni msiogope
Mwisho mnaweza kwenda kumfungulia kesi na yeye na matusi aliyowatukana kama mnaushahidi mfundisheni adabu
Page yao ya insta wame mute sehemu ya commentMpka sasa huu uzi nmeusomaz nmeona masononeko na maumiv ya watanzania wengi kuhusu huu unyanyasaji.
More than 100 comments, but nafkiri its high time kuongeza nguvu. Sisi tulioko JF wote hatuez kuandamana pale nje lakn tuna nguvu kubwa ya mtandao. Kama tungeweza kwenda kueka uchungu wetu hapo kwenye comments za huo mgahawa ingekua rahisi dunia nzima kuona huo ufedhuli.
Rather than being angry hapa, hebu twende kwa pamoja tukaanzishe tifu huko kwenye page yao ili kumsupport mwenzetu na pia kuifungua macho dunia kuhusu hii injustice
CCTV camera zitachukua tukio, halafu kesi ya kuchoma jengo hukumu yake Kama kesi ya kulawiti, kifungo Cha maishaoya petrol lita kumi ni 35000 kiberiti cha gas ni 500 gazeti used ni 300
fika eneo la tukio mwaga petrol chap chap washa gazeti lako panda boda kabisa alaf rusha gazeti lichome kufuata mstari wa mafuta mpka eneo la jengo ww sepa ikiwezekana hiyo boda kunja plate namba mkifika mbali inyooshe .
Poleni sana wewe na wenzako kwa mlichotendewa hii tabia imekuwa sugu sana ya wageni kuwanyanyasa wenyeji yote hii inatokana na serikali yetu kuwakumbatia awa wadudu dawa ni moja tu nahamanin kwa nguvu tuliyonayo sisi wana JF ili jambo tukiamua kulivaria njuga awa wadudu wanarudishwa kwao na nyie kupata stahiki zenu tuma picha za iyo restaurant na majina ya awa wadudu tuwanyooshe yani watu wametoka kwao uko kuna vita hakukaliki wamekuja kwetu tumewapokea alafu waje watunyanyase apa apa kwetu ...Guys we need to do something now.
Hahahaahhaahahaha tulia tulia tafadhali, nitaamsha mizimuUliwafanya ni nini?
Kama issue ishafika mahakamani basi subirini watenda haki watende haki kwa mujibu wa sheria.
Mahakama ndio sehemu sahihi ya kupata haki kwa mujibu wa sheria
Nimependa Ulivomfunza adabu😂"Ni kamuuliza "what did u call me?You call me a thief, mutha f*cker do u know who tha f*ck i am? Does this look like 18 century that u can call a black man a thief? You think am playing out here you sleeve b*tch ass muthaf*cker. This is Fucking Tanzania, am the f*cking son of this land and you are nothing but a biggot faggot Ahole racist c*nt you moron. F*ck you white racist mutha f*cker. You think am your average Uncle Tom, amo beat that silly dumbazz stupid self of yours if you utter just a word on me you sick f*ck. You think am playing here. Whatchu got on, c'mon, play your balls am all ready show me watchu got with your racist skunk smelling ass.... F*ck you motha f*cker .... f*ck you....."![]()
😄😄😄 Ila umenichekesha Sana mzee.
CMA tunae Wakili ila Jinai tulijitetea wenyewe, natafuta fomu yetu ya CMA nikifanikiwa kupata nitakutumia PM.Hiyo kesi yenu ya CMA madai yenu kwenye ile fomu ya kufungulia nadai ya migogoro ya kazi mliyaweka vizuri?
Mliachishwa kazi tarehe ngapi na nyinyi mlifungua mgogoro CMA tarehe ngapi? maana unfair termination mgogoro unatakiwa kufunguliwa ndani ya siku 30 toka mgogoro ulipojitokeza.
Kwenye Fomu ya maombi mliomba stahiki zipi? Kazini mmekaa kwa muda gani? malipo mlikuwa mnalipwaje, cash au benki? Mna vitambulisho vya kazi?
Hapo CMA kama mambo yenu kwenye fomu yamekaa vizuri stahiki zenu mnaweza kuzipata. Haki Inaweza kuchelewa kwa vile mahakamani mambo huchukua muda, but kama ni haki yenu mtaipata tu.
USHAURI:
Kwa kesi zote mbili,Hiyo rufaa ya jinai na Labour case tafuteni wakili awasimamie, Laymen mnaweza msijue namna ya kupangilia kesi yenu vyema na mkaiharibu kwa kushindwa kusema mambo ya msingi.
Hasa hiyo kesi yenu ya CMA kama hamuwezi kuweka wakili basi mtafuteni wakili awe anawashauri kila mkienda mahakamani mkaseme nini na kila hatua mfanye nini..!
Ningejua cha kushauri zaidi endapo kama nongeona namna mlivyoweka madai yenu kwenye fomu ya CMA.
Sawa Mkuu nitakua nawaletea Mrejesho hapa mpaka mwisho wa kesi utakavyo kuaAcHa nilale hakikisha unaleta mrejesho wa kesi hii hapahapa jf utueleze umesadikaje na ss tulioko nyuma ya kyebord tukitafakar jins ya kuvamia mgahawa na kuuzambaritisha kwa comment tu bila kumwaga damu ya muyemeni
Ikumbukwe kuwa yemeni Ni kwa wajomba wa mama sa100
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Tulikua tunakatazwa kutumia simu kazini na mara nyingi simu zetu zilikua zinakusanywa mpaka mda wa kuondoka ndio unarudishiwa simu yako. Hata Mabegi yetu tunaacha nje kwa mlinzi huruhusiwi kuingia nayoKm mnajua ndo tabia Yake kwann Huwa hamrekodi?.
Ila ningekua mi ningemfurahisha hata nisingeenda huko polisi na angefunga shenz sn
Wanakuwa wanatumia manguvu ya Giza,(miungu Yao) ndo maana we ana nyodo
hilo daftari litawasaidia badala ya mikataba ambayo hamkuwa nayo,liibe ama toa copy chapNdio Daftari lipo ila wanayo wao, Daftari ndio lilifanya Wakubali sisi tulikua waajiriwa Wao
Daftari naliiba vipi Mkuu na sisi hatupo kazini tokea January 29 katubambikia kesi ya Jinai, tumeshinda kesi ila amekata Rufaa huku akijisifu kwa wafanyakazi wake wapya kwamba katuweka Gerezanihilo daftari litawasaidia badala ya mikataba ambayo hamkuwa nayo,liibe ama toa copy chap