DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

DOKEZO Tunaomba Msaada: Tumedhulumiwa na LE MARAHEB RESTAURANT & more mishahara yetu na kubambikiwa kesi ya jinai na mwajiri wetu mwarabu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi siyo mwanasheria! Wasiwasi wangu kama hawana mkataba uliondikwa na kusainiwa pande zote (Mwajiri na Mwajiriwa),swala likifika mahakamani watashinda kesi na kupata sitahili zao?
Au ni kesi ya kuleta fujo na matusi?
Hilo ndio wanalo jiamini na kujisifu kwamba HatutopAta haki zetu hata tuende wapi sababu hawakutupa Mkataba
 
Watu weupe wanatuzidi ujanja,pesa,akili pia na technolojia,na wanatumia haya madhaifu kutunyanyasa Sana,maana sis watu weusi tuna njaa haraf pia tunasalitiana Sana,mtu mpaka anawatukana matus ya namna hyo huwez kujua nin kinampa jeur,weupe weng huku wanakuja Kama mabeberu,hivyo huwa Yana mitandao mirefu Sana. Nawahakikishia hata myapeleke wap hamuwez mkayashnda,yaan had viongoz wanayaogopa kabisa!!! Magufuli ndie alikuwa kiongoz pekee ambae alikuwa hawaogopi Hawa jamaa. Watanzania tunadanganywa kwa vitu vidogo ili tuweze kusaliti watanzania wenzetu!!!
Kwa ushaur wangu nawaomba muachane nao tu,yaan endeleen na shughur zenu tu,maana mtapoteza muda bure tu na mwishowe hamtaambulia kitu.
 
Watu weupe wanatuzidi ujanja,pesa,akili pia na technolojia,
Ni sisi ndio tunaoteswa na IQ zetu hafifu. Magufuli alijifanya kuwa haogopi Covid huku akijua fika "Mabeberu" wamemuwekea Betrii kwenye Moyo ili aendelee kuishi.

Unafanyaje kazi bila Mkataba halafu ukizulumiwa unaanza kulaumu Mabeberu.
 
Tatzo sis tuna njaa mno yaan tunafkia hatua tunafanya Kaz hata ukilipya chakula tu Ni sawa, angalia tu Hawa jamaa baada ya kutoka muda huo huo wakajaa wengne na kuendelea na Kaz bila mkataba!! Au nyiny ndo wasaliti ?
 
Kuna Wizara ya Kazi, kuna Sheria, kwahiyo tatizo liko wapi? Tatizo liko kwenye IQ hafifu, haiwezekani Polisi ahongwe misosi ili akufunge wewe ambae umeajiriwa kwasababu unanjaa, hata hukuhitaji mkataba.

Tuzishutumu IQ zetu hafifu.
 
Baada ya Sisi kuwafungulia kesi CMA ndio wakaanza kutoa mikataba ya miezi 3 kwa wafanyakaz wapya, ila naskia wengine hugoma kusaini sababu naskia mikataba yenyewe haijaandikwa mshahara, wengine hawaelewi kimeandikwa nini sababu ya Lugha, na kwa sasa wameajiri HR ambae ndie anawapa kichwa.
 
Kuna Wizara ya Kazi, kuna Sheria, kwahiyo tatizo liko wapi? Tatizo liko kwenye IQ hafifu, haiwezekani Polisi ahongwe misosi ili akufunge wewe ambae umeajiriwa kwasababu unanjaa, hata hukuhitaji mkataba.

Tuzishutumu IQ zetu hafifu.
Point iliyopo hapa Ni kwamba mwajir hataki aajir kwa mikataba ili iwe rahis kuwanyanyasa na kuwafukuza wafanyakaz wake kirahis pia paspo na gharama yeyote!! Swali Ni je wew ukikuta mwajili na namna hii yaan anakwambia sna mkataba ila Kaz ipo utakataa huku ukiwa na njaaa pengne had pa kulala haieleweki ??? Tatzo kubwa hapa sio IQ tatzo Ni njaaa!!!!,Ukiwa na njaa Ni rahis Sana kuonewa
 
Nimejiapiza kuwa ni lazima nikifika Dar niende kwenye huo Mgahawa nikaburudike na Shisha huku nikisikiliza Singeli za matusi kutoka Jikoni.
 
Tulikua tunakatazwa kutumia simu kazini na mara nyingi simu zetu zilikua zinakusanywa mpaka mda wa kuondoka ndio unarudishiwa simu yako. Hata Mabegi yetu tunaacha nje kwa mlinzi huruhusiwi kuingia nayo
Kazi ya kunyimwa uhuru kama hivyo kama unaenda selo 🤨
 
Wana Uraia wa Tanzania ila asili yao ni Yemen, wanazungumza Kiarabu na Kiswahili, Walikua na Mgahawa Mwanza Rock City Mall, Wametapeli Mishahara watu kibao mpaka Suppliers huko Mwanza wakakimbilia Dar. Pia Huyo Bosi wakike Familia yake ndio wamiliki wa Star Light Hotel Iliopo Kisutu, ila wengine wanasema Waliuza hio Star Light Hotel ndio wakafungua huo Mgahawa Wa Masaki.

Bosi wa kike anaitwa: ARIFA AL-BEITY
Bosi wa Kiume anaitwa: MAHMOUD OMAR AL-SHATRY
Mimi nikionewa na MTANZANIA mwenzangu hata akiwa mdogo kwangu huwa Sina maneno kwa kweli!
Ila hawa wageni wakionesha dharau najikutaka harufu ya kifungo inanukia.

Kuna siku Niko Mbeya,(Chunya road) natembea kwa miguu,ahamadii harrier nyeusi ikakatiza ubavuni mwangu,baada ya kunipita tu nikaona MCHINA katoa kichwa katema makohozi ambayo yalinipata usoni baada ya kupeperushwa na upepo😞😞,kwa ghadhabu niliokota jiwe huku nikiikimbilia ile gari,Mlio wa kuvunjika kwa kioo Cha nyuma ulisikika(Tuligawana hasara ya midharau yake),mi nikapotelea zangu uswahilini hukoo.
 
Watu weupe wanatuzidi ujanja,pesa,akili pia na technolojia,na wanatumia haya madhaifu kutunyanyasa Sana,maana sis watu weusi tuna njaa haraf pia tunasalitiana Sana,mtu mpaka anawatukana matus ya namna hyo huwez kujua nin kinampa jeur,weupe weng huku wanakuja Kama mabeberu,hivyo huwa Yana mitandao mirefu Sana. Nawahakikishia hata myapeleke wap hamuwez mkayashnda,yaan had viongoz wanayaogopa kabisa!!! Magufuli ndie alikuwa kiongoz pekee ambae alikuwa hawaogopi Hawa jamaa. Watanzania tunadanganywa kwa vitu vidogo ili tuweze kusaliti watanzania wenzetu!!!
Kwa ushaur wangu nawaomba muachane nao tu,yaan endeleen na shughur zenu tu,maana mtapoteza muda bure tu na mwishowe hamtaambulia kitu.
Jamaaa kawafungulia kesi waachane nae vipi mkuu?
 
Jamaaa kawafungulia kesi waachane nae vipi mkuu?
Jamaaa kawafungulia kesi waachane nae vipi mkuu?
Hyo kesi nazan kawafungulia Kama sehem ya kuwatishia tu ili wasidai malipo yao,kwa hyo wakionesha kupotezea na yeye atapotezea pia, ila wakionesha kukomalia malipo yao kwa kuwa yeye Ana pesa na connection mpaka kwa viongoz nahis ndo atawatesa mno
 
Back
Top Bottom