instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.Tunawaomba chadema waweke wazi mapato na matumizi ya Hela za ToneTone na hatutegemei tusikie walikuwa wanatumia kwenye chakula cha jioni kwasababu John Mnyika alishasema Kuna beberu liliwapa kiasi cha Mil. 918. Na hakuna taarifa yyte ya beberu kustisha wao wanataka tusifanye KAZI ili waanze kutukopesha unga wa ugali ulioandikwa made in USA 🇱🇷
Hela za ToneTone tunategemea ziingizwe kwenye account ya hazina kuu ya serikali ili ikachangie maendeleo ya nchi au zikakarabati head quoter ya Heche kule musoma
Tonetone kila mkutano unapoisha huwa wanatoa update kimekusanywa kiasi gani, una swali lingine?Matrix19
Najua unapingana na UTAPELI
Baada ya hapo Hela zinaenda wapi?Tonetone kila mkutano unapoisha huwa wanatoa update kimekusanywa kiasi gani, una swali lingine?
Naona hasira za kufutwa kwa mkutano wenu Tabora zimehamia kwenye Uzi wangu.Kamwqmbie anayekukufir*** akupe Mapato na matumizi ya hilo tobo
Pesa za tonetone ni za uendeshaji wa shughuli zote za chama, hamasa, usafiri , posho ,chamw hakina ruzuku hivyo vyote unavyoona vinafanyika ni michango ya wananchi na ndio maana ya PEOPLES POWER.Baada ya hapo Hela zinaenda wapi?
Hz Hela za wafadhiri huwa zinafanya KAZI ganiPesa za tonetone ni za uendeshaji wa shughuli zote za chama, hamasa, usafiri , posho ,chamw hakina ruzuku hivyo vyote unavyoona vinafanyika ni michango ya wananchi na ndio maana ya PEOPLES POWER.
Hizo pesa zitakua audited mwakani utaona ripoti ya CAG kama wasipoleta figisu account zikafungwa .
Mimi naunga mkono wananchi kuchangia pesa kama hivyo kwenye tone tone maana chama ni wafuasi na wanachama.
Halafu hakuna kitu kinaitwa "wafadhiri" bali ni wafadhili .Hz Hela za wafadhiri huwa zinafanya KAZI gani
Kwahyo hizo hela za vyama washirika huwa zinafanya KAZI gani ? Mpaka muwatapeli watu kwa ToneToneKuna kitu kinaitwa "vyama washirika" kama ambavyo CCM mpo sawa kisera na ndio CCP ya China ilivyotoa $40M kuwajengea chuo cha mafunzo ya uongozi Kibaha 2022 hivyo hivyo CHADEMA ina vyama washirika kimojawapo maarufu kiko Ujerumani pesa hutolewa kwa shughuli zote za kichama.
Soma hapa $40M walizopewa CCM na CCP.
China’s First Political School in Africa
The Nyerere Leadership School, supported by China’s Central Party School, provides ideological training to African liberation parties.africacenter.org
Kwahyo hizo hela za vyama washirika huwa zinafanya KAZI gani ? Mpaka muwatapeli watu kwa toneKuna kitu kinaitwa "vyama washirika" kama ambavyo CCM mpo sawa kisera na ndio CCP ya China ilivyotoa $40M kuwajengea chuo cha mafunzo ya uongozi Kibaha 2022 hivyo hivyo CHADEMA ina vyama washirika kimojawapo maarufu kiko Ujerumani pesa hutolewa kwa shughuli zote za kichama.
Soma hapa $40M walizopewa CCM na CCP.
China’s First Political School in Africa
The Nyerere Leadership School, supported by China’s Central Party School, provides ideological training to African liberation parties.africacenter.org
Nani ametapeliwa kwenye pesa za tone tone , weka link hapa nione aliyeenda kufungua kesi ya kudai katapeliwa.Kwahyo hizo hela za vyama washirika huwa zinafanya KAZI gani ? Mpaka muwatapeli watu kwa ToneTone
Mkuu naona ushaanza kuwa mkali ngoja nikuache kwanza upumzike sipo kwaajili ya kukuumiza kihisiaNani ametapeliwa kwenye pesa za tone tone , weka link hapa nione aliyeenda kufungua kesi ya kudai katapeliwa.
Nimekujibu pesa za ndani na hao vyama washirika zote hutumika kwa shughuli za chama kuanzia usafiri, posho, malazi , mikutano na mengine mengi.
Mkuu naona ushaanza kuwa mkali ngoja nikuache kwanza upumzike sipo kwaajili ya kukuumiza kihisia, nitaendelea kesho asubuhiNani ametapeliwa kwenye pesa za tone tone , weka link hapa nione aliyeenda kufungua kesi ya kudai katapeliwa.
Nimekujibu pesa za ndani na hao vyama washirika zote hutumika kwa shughuli za chama kuanzia usafiri, posho, malazi , mikutano na mengine mengi.
Hakuna ukali wowote hapo, nimekuuliza naomba mahali popote mtu alipodai kutapeliwa pesa ya tone tone leta maelezo au kama kuna link nikaone .Mkuu naona ushaanza kuwa mkali ngoja nikuache kwanza upumzike sipo kwaajili ya kukuumiza kihisia
Inshort: inatakiwa watu wajue mkoa x walichangia shi ngapi na mkoa y walichangia sh ngapi na kiasi x kilitumika kwa chakula na malazi na kiasi Y kilitumwa kwa akina pambalu na hilda Newton huko Kenya na kiasi Z kilitumika kununua bando la watukana viongozi mitandaoni....mfano kama huuHakuna ukali wowote hapo, nimekuuliza naomba mahali popote mtu alipodai kutapeliwa pesa ya tone tone leta maelezo au kama kuna link nikaone .
Huwezi na huna uwezo wa kuniumiza kihisia mimi jipange sana!
Inshort: inatakiwa watu wajue mkoa x walichangia shi ngapi na mkoa y walichangia sh ngapi na kiasi x kilitumika kwa chakula na malazi na kiasi Y
Wewe ndio uliwatumia hizo pesa?kilitumwa kwa akina pambalu na hilda Newton huko Kenya
Viongozi gani hao wanaotukanwa.?na kiasi Z kilitumika kununua bando la watukana viongozi mitandaoni....mfano kama huu
Tunataka mapato na matumizi ya huko Kote walikotembeza kapu
View: https://x.com/i/status/2070079821682454776
Wewe ndio uliwatumia hizo pesa?
Viongozi gani hao wanaotukanwa.?