NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Tunasubiri kwanza matumizi ya bilioni 40 za kagoda limited.Tunawaomba Chadema waweke wazi mapato na matumizi ya Hela za ToneTone na hatutegemei tusikie walikuwa wanatumia kwenye chakula cha jioni kwasababu John Mnyika alishasema Kuna beberu liliwapa kiasi cha Mil. 918.
Na hakuna taarifa yyte ya beberu kustisha wao wanataka tusifanye KAZI ili waanze kutukopesha unga wa ugali ulioandikwa made in USA 🇱🇷
Hela za ToneTone tunategemea ziingizwe kwenye account ya hazina kuu ya serikali ili ikachangie maendeleo ya nchi au zikakarabati head quoter ya Heche kule musoma
View attachment 3616897
Maana miaka mingi imepita.