Tunaomba sasa mtupe mapato na matumizi ya ToneTone otherwise ni UTAPELI kama UTAPELI mwingine

Hayo hutolewa mwisho wa mwaka wa kihasibu una swali lingine?
Na kwanini iwe mwisho wa mwaka, unajua hata hela za wahanga wa kateshi hazikuwafikia mpaka Leo, unajua rambirambi za kule kusini hazikuwafikia wahanga unayajua haya?
Au mnataka watu wasahau?
 
Na kwanini iwe mwisho wa mwaka, unajua hata hela za wahanga wa kateshi hazikuwafikia mpaka Leo,
Kwa sababu hesabu zote hufanyiwa majumuisho na kupelekwa kwa CAG.

Kwani ripoti ya CAG hutolewa kila mwezi?

Au mnataka watu wasahau?
Rambirambo zipi hazikufika weka hapa link ya malalamiko ya hiyo habari ya rambirambi kutofika.

Hao wahanga wa Katesh kwanza CHADEMA ilihusikaje na majanga yao maana unandika vitu havina uhusiano.
 
Na kwanini iwe mwisho wa mwaka, unajua hata hela za wahanga wa kateshi hazikuwafikia mpaka Leo, unajua rambirambi za kule kusini hazikuwafikia wahanga unayajua haya?
Au mnataka watu wasahau?
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Kwa sababu hesabu zote hufanyiwa majumuisho na kupelekwa kwa CAG.

Kwani ripoti ya CAG hutolewa kila mwezi?

Rambirambo zipi hazikufika weka hapa link ya malalamiko ya hiyo habari ya rambirambi kutofika.

Hao wahanga wa Katesh kwanza CHADEMA ilihusikaje na majanga yao maana unandika vitu havina uhusiano.
Hao wanaotapeliwa ToneTone wanajua kuwa mwisho wa siku zinakaguliwa na CAG?
ONA HAYA MADUDU ya chadema kwenye report ya CAG
 
Attachments

  • 20240518_210816.jpg
    20240518_210816.jpg
    195.3 KB · Views: 8
Hao wanaotapeliwa ToneTone wanajua kuwa mwisho wa siku zinakaguliwa na CAG?
ONA HAYA MADUDU ya chadema kwenye report ya CAG
Ndio maana nakwambia kila siku unabeba propaganda mwalimu, tone tone imeanza February 2025, mwezi June 2025 account za chama zimefungwa ripoti ya CAG ilieeleza walishindwa kufanya ukaguzi .

Hii ripoti wewe umeleta ni ya tone tone ya mwaka gani?

Hizo pesa zilizopotea hata mimi siungi mkono maana mimi na ufisadi na wizi ni mbalimbali hutokuta humi hata siku moja naunga mkono wizi hata akifanya nani.
 
Nimesema ToneTone kwasababu ni contemporary name lakini ilianza join the chain hzo zote ni changisha changisha na zote Hela zilipgwa hakuna mapato na matumizi mapaka leo
 
Kulikuwepo na donation inaitwa shilling yetu nguvu yetu nayo iligongwa
 
Nimesema ToneTone kwasababu ni contemporary
Tone tone ilianza 2025 hiyo ripoti haijataja tone tone hivyo hayo ni maelezo yako .
name lakini ilianza join the chain hzo zote ni changisha changisha na zote Hela zilipgwa hakuna mapato na matumizi mapaka leo
Hela za join the chain zilikua na dosari ni kweli na nilisema humu , uongozi wa Mbowe ulichemka kwenye usimamizi wa zile pesa.
 
Tone tone ilianza 2025 hiyo ripoti haijataja tone tone hivyo hayo ni maelezo yako .

Hela za join the chain zilikua na dosari ni kweli na nilisema humu , uongozi wa Mbowe ulichemka kwenye usimamizi wa zile pesa.
Mkuu mm huwa nafatilia sana siasa.
Mbowe Wala asihusishwe unajua Mnyika na heche walitaka kupingana kisa Hela za join the chain je hao watu wamestaff siasa? Je kwamba mifumo ya kuchangisha watu Hela imebadilika baada ya mbowe kuachia madaraka?
Mbowe asihusishwe matapeli ni hawa akina heche, Lema, john mnyika na tundu lisu ambaye alichangisha watu Hela ya kununulia gar akabadili matumizi
 
Hao wanaotapeliwa ToneTone wanajua kuwa mwisho wa siku zinakaguliwa na CAG?
ONA HAYA MADUDU ya chadema kwenye report ya CAG
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Mkuu mm huwa nafatilia sana siasa.
Mbowe Wala asihusishwe unajua Mnyika na heche walitaka kupingana kisa Hela za join the chain je hao watu wamestaff siasa? Je kwamba mifumo ya kuchangisha watu Hela imebadilika baada ya mbowe kuachia madaraka?
Mbowe asihusishwe matapeli ni hawa akina heche, Lema, john mnyika na tundu lisu ambaye alichangisha watu Hela ya kununulia gar akabadili matumizi
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Nimesema ToneTone kwasababu ni contemporary name lakini ilianza join the chain hzo zote ni changisha changisha na zote Hela zilipgwa hakuna mapato na matumizi mapaka leo
Tunakila sababu kusema kwamba kwa Karne hii ya 21 katika jangwa la Sahara kuna kikundi cha kigaidi kinachoitwa CCM ,dunia inapaswa ijue hivyo kwa sasa sio political party, ni terrorist organization kama boko haramu, al shabab, Isis au al qaida.
 
Kwa Sasa CHADEMA haipewi ruzuku sijui mtajificha wapi?. Nyie lipeni kwanza deni la Trilioni 114.
 
Hao wanaotapeliwa ToneTone wanajua kuwa mwisho wa siku zinakaguliwa na CAG?
ONA HAYA MADUDU ya chadema kwenye report ya CAG
Acha uongo, ripoti ya CAG Gani hii?. Nyie toeni ripoti ya billioni 80 mlizochangiwa na wafanyabiashara.
 
Back
Top Bottom