Tunaomba sasa mtupe mapato na matumizi ya ToneTone otherwise ni UTAPELI kama UTAPELI mwingine

Tunasubiri kwanza matumizi ya bilioni 40 za kagoda limited.
Maana miaka mingi imepita.
 
Mkuu mm huwa nafatilia sana siasa.
Mbowe Wala asihusishwe unajua Mnyika na heche walitaka kupingana kisa Hela za join the chain je hao watu wamestaff siasa?
Walitaka kupigana wapi?

Wapi mimi nimeandika habari za kustaafu?

CHADEMA ilibadili uongozi tu Mbowe hakustafuu bado ni mjumbe wa kamati kuu.
Je kwamba mifumo ya kuchangisha watu Hela imebadilika baada ya mbowe kuachia madaraka?
Mfumo ni ule ule nashangaa uliposema watu wametapeliwa hizo tone tone nimekuuliza uweke link ya hao watu wakilalamika umeshindwa.

Mbowe asihusishwe matapeli ni hawa akina heche, Lema, john mnyika na tundu lisu ambaye alichangisha watu Hela ya kununulia gar akabadili matumizi
Unaweza kuthibitisha kwamba pesa za kununua gari zilibadilishwa matumizi?

Usichokijua pesa ya kununua gari la Lissu kwanza haikua wazo la chama bali wafuasi wa chama hasa kule X.

Pia pesa za manunuzi ya gari la Lissu hazikupitishwa kwenye account ya chama hivyo Lissu mwenyewe ndio alikua anatoa updates za michango.

Ukija na propaganda jipange sana.
 
Hapa hujajibu vizuri inaonyesha wewe siyo mufatiliaji wa UTAPELI wa chadema
 
Bilioni 84 walizochanga wafanyabiashara pale mlimani city matumizi yake yameshatolewa na CCM?
 
Utaamzisha nyuzi mno mpaka unye na Abdul Kwa ujinga wake anaweza kukuona wa maana.
 
Hapa hujajibu vizuri inaonyesha wewe siyo mufatiliaji wa UTAPELI wa chadema
Yale mafisadi ya mliman city yaliyowachangia billion 100 Marejesho wake baada ya utapeli wa uchaguzi mlimuuliza mama yenu kuhusu pesa hizo au wajinga mnaozeekea mitandaoni mkisubiri teuzi mmejizima data.
 
Tone tone inawauma kwa sababu mikutano yenu mnalipa watu waje ila mikutano ya CDM watu wanatoa ela zao mifukoni

Ata ingekua mm kingeniuma Sana pole Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…