Tunaomba Serikali ianze kuitambua Masters kwenye mishahara

Kilunguru

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2023
Posts
416
Reaction score
544
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
 
Ninavyojua mimi ukipata masters kwanza unapewa ka 'hongera' kwa kupewa double increment.

Lakini pili, bila kuwa na masters hawezi kupanda cheo cha kiutumishi kufika level ya 'afisa mkuu', utakwama kwenye 'afisa mwandamizi'

Na tatu, kwenye taasisi nyingi za umma hauwezi kupata cheo cha kiuongozi (mfano meneja au mkurugenzi) kama hauna sifa hiyo ya elimu ya uzamili pamoja na sifa nyingine.

Zaidi ya hapo unataka nini?? Kazi nyingi serikalini zinaweza kufanywa na mtu mwenye stashahada au shahada ya kwanza, malipo ni matokeo ya kazi na sio elimu. Elimu inakusaidia kutekeleza majukumu yako.
 
Lakini pili bila kuwa na masters hawezi kupata cheo cha kiutumishi kufika level ya 'afisa mkuu', utakwama kwenye 'afisa mwandamizi'

Na tatu, kwenye taasisi nyingi za umma hauwezi kupata cheo cha kiongozi kama(mfano meneja) kama hauna sifa hiyo ya elimu pamoja na nyingine.

Zaidi ya hapo unataka nini?? Kazi nyingi serikalini zinaweza kufanywa na mtu mwenye stashahada au shahada ya kwanza, malipo ni matokeo ya kazi na sio elimu. Elimu inakusaidia kutekeleza majukumu yako.
Uko sahihi.

Ila kwa masters za haraka haraka zinakupa tu nguvu unaweza ukabaki pale pale kwa mwanzo ila ukaja kufanyiwa promotion kubwa zaidi hata kwa kwenda taasisi nyingine.

Kingine experience ina matter sana sio kitoto una miaka michache unataka kuwa juu zaidi ..wewe soma masters then secure elimu na work experience ya kutosha utafika tu mpaka juu.
 
Uko sahihi.

Ila kwa masters za haraka haraka zinakuoa tu nguvu unaweza ukabaki pale pale kwa mwanzo ila ukaja kufanyiwa promotion kubwa zaidi hata kwa kwenda taasisi nyingine.

Kingine experience ina matter sana sio kitoto una miaka michache unataka kuwa juu zaidi ..wewe soma masters then secure elimu na work experience ya kutosha utafika tu mpaka juu.
Naam, umenena.
 
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Walioanzaga kazi na diploma mtawaua🤣 wametoka kushurutishwa wakasome bachelors ndo kwanza wengine wametambulika vizuri makazini unataka wakaanze tena kusoma na vitoto hizo masters. Mtawaua🤣🤣🤣🤣 acha tu mkuu
 
Naam, umenena.
Tumefanya kazi na jamaa alikuwa na almost 16 kweny utumishi wa umma ana masters na alikuwa na cheo cha principal officer tu.
Sasa ni mkurugenzi kabisa karuka kumpita meneja mpaka juu...ila mda sana tangu awe mkurugenzi status zake naona zinahusu ishu za PhD sijui ndo anasomea maana anapost sana ishu za PhD.
 
Ninavyojua mimi ukipata masters kwanza unapewa ka 'hongera' kwa kupewa double increment.

Lakini pili, bila kuwa na masters hawezi kupanda cheo cha kiutumishi kufika level ya 'afisa mkuu', utakwama kwenye 'afisa mwandamizi'

Na tatu, kwenye taasisi nyingi za umma hauwezi kupata cheo cha kiuongozi (mfano meneja au mkurugenzi) kama hauna sifa hiyo ya elimu ya uzamili pamoja na sifa nyingine.

Zaidi ya hapo unataka nini?? Kazi nyingi serikalini zinaweza kufanywa na mtu mwenye stashahada au shahada ya kwanza, malipo ni matokeo ya kazi na sio elimu. Elimu inakusaidia kutekeleza majukumu yako.
Zaidi ya hapo tunataka ziwe na salary scale Kama ilivyo kwa nchi zingine
 
Back
Top Bottom