Tunaomba Serikali ianze kuitambua Masters kwenye mishahara

Jamaa yangu alipiga masters ya HR mzumbe ,matarajio kibao .Matokeo yake akawa anakunja 350,000/= kwa mwezi.Hapo ndipo kipaji chake cha wizi kikaonekana.Mtu unaiba mpaka mzani?Siku anafukuzwa kazi walimkuta anafungua injini ya pikipiki godown.
 
Umeona sasa ulivyo kwani ww Ni jinzia gani aisee ? Achana na kufatilia maisha ya Watu kwani hyo 350,000 yake alikuwa anakuja kula kwako, unatabia za hovyo Sana wewe..kwahyo ulikuwa unamuwinda ili ujue anaishije pumbavu we! Tulia na maisha yako
 
Umekurupuka wewe.Mimi nimejaribu kushare uzoefu tu wa namna watu wenye masters hawathaminiwi.Kichwa chako kimejaa makamasi matupu.
 
Una share uzoefu kwa kutaja salary ya mtu ww inakuhusu nini...kwahyo umewinda mpaka ukajua anapata salary sh ngapi nyie ndo wambea makazini... be a gentleman plz
 
Wewe nani sasa wa kunipangia nitaje hiki na nisitaje hiki .Maiti wewe .Kwa taarifa yako mishahara wala sio siri.
 
Unashida sana unaendekeza sana umbea umbea..haya Sasa twambie huyo jamaa yako mwenye masters ya HR sahz anapokea shi ngapi...maana hzo story ndo unapenda😄
 
Unashida sana inaendeleza umbea umbea..haya Sasa huyo jamaa yako mwenye masters ya HR sahz anapokea shi ngapi...maana hzo story ndo unapenda😄
Kama umekasirika sanaa kanunue tango la buku valisha kondomu halafu kalia.
 
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Vipi kiutendaji, kuna tija? Pengine licha ya elimu ya juu, hakuna tofauti na mwenye diploma.
 
Ninavyojua mimi ukipata masters kwanza unapewa ka 'hongera' kwa kupewa double increment.

Lakini pili, bila kuwa na masters hawezi kupanda cheo cha kiutumishi kufika level ya 'afisa mkuu', utakwama kwenye 'afisa mwandamizi'

Na tatu, kwenye taasisi nyingi za umma hauwezi kupata cheo cha kiuongozi (mfano meneja au mkurugenzi) kama hauna sifa hiyo ya elimu ya uzamili pamoja na sifa nyingine.

Zaidi ya hapo unataka nini?? Kazi nyingi serikalini zinaweza kufanywa na mtu mwenye stashahada au shahada ya kwanza, malipo ni matokeo ya kazi na sio elimu. Elimu inakusaidia kutekeleza majukumu yako.
Leta akaunti yako @mexence melo akuingizie hela ya unga hata kilo 10 kwanza
 
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Mtanzania mwenye shahada moja au mbili au tatu au zaidi, sion chochote cha maana wanachokifanya kwenye taifa zaidi ya ujuaji mwingi ambao wakipewa room wanashindwa kuuonesha.
 
Back
Top Bottom