Tunaomba Serikali ianze kuitambua Masters kwenye mishahara

Tunaomba Serikali ianze kuitambua Masters kwenye mishahara

Duh!

Kwamba Masters ya Education haina chochote kwenye elimu? Mie sio mwalimu, ila kwa maoni haya uliyotoa inaonesha kuna shida mahala ya namna tunavyoelewa mfumo wa elimu na umuhimu wake!
Nimeuliza mwenye Masters ya education atafanya nini Cha ajabu sana compared to mwenye degree ya education?
 
😂😂😂😂 kumbe tuna watu wana mastazi mbona utendaji ni wa kiwango cha form 4 tuonyesheni kwanza uwezo wenu tuyaone mabadiliko ndipo muombe mishahara awamu ya sita tunalipa kulingana na unachokifanya
 
-Mwenye Masters ya magonjwa ya watoto, huyo atatibu watoto Kwa ubora zaidi mwenye Masters ya education atafanya nini Cha ajabu tofauti na mwenye degree?, Elimu zinazokubalika Kwa sana ni CPA ukipata CPA unapandishwa,
-Sehemu ambayo Masters inakubalika ni kama NIMR ambapo wenye Masters wanahesabika Kama Research Officers.
Huyu jamaa tatizo lake ni kubwa sana. Sasa watu kama hawa ni kuwafutia TU usajili kuokoa forum

Hivi hajui tofauti ya degree na masters ambazo kwa ligha pendwa ya kiswahili zinaitwa shahada na uzamili???

Aiseh wakati mojawapo kati ya hizo inamtengeneza wenzake bila shida

Aiseh!!!
 
😂😂😂😂 kumbe tuna watu wana mastazi mbona utendaji ni wa kiwango cha form 4 tuonyesheni kwanza uwezo wenu tuyaone mabadiliko ndipo muombe mishahara awamu ya sita tunalipa kulingana na unachokifanya
Subiri wataanza kulipa tu.
 
Aisee we jamaa acha kuteseka na vitu visivyo kuhusu, kwahyo watu wa masters wakilipwa ww utapungukiwa nini..unaakili za kijinga Sana wewe
Mbona unakua mfalme njozi mimi kusema waonyeshe impact ya elimu zao imekua tabu dah 😆😆😆 haya ndio matunda ya kuaminishwa mambo ya ajabu jitahidi upate exposure itakusaidia alafu sio lazima utumie kauli chafu kukosoa mtu.
Matumizi ya matusi ni dhahiri unachuki na zinakutesa
 
Sasa wakuonyeshe ww Kama Nani mbona mswahili swahili Sana, kwani ww kwenda kusoma shida ni nn
 
Hebu usitafute ligi nilichosema kisome vizuri alafu ndio ulete msongo wa mawazo yabkukosa chai kwa shemeji
Umeona sasa kumbe mdomomdomo ni jadi yako pumbuvu we! Kwahyo kuwa na chai tu unaona upo vzur sana😄😄 hvi chai tamu eeeh!
 
Umeona sasa kumbe mdomomdomo ni jadi yako pumbuvu we! Kwahyo kuwa na chai tu unaona upo vzur sana😄😄 hvi chai tamu eeeh!
Tuliza spika kwa shemeji dada akisafiri ibanduliwe unataka ligi asubuhi njaa zinakusumbua macho hayana nguvu ya kusoma na ubongo kutafsiri kwakua njaa imekukaba uombe dada hela katafute mihogo kwanza ili akili zikae sawa now unaweza pandisha kichaa chako kila na hivi hujameza dawa basi tafrani
 
Back
Top Bottom