Tunaomba Serikali ianze kuitambua Masters kwenye mishahara

Tunaomba Serikali ianze kuitambua Masters kwenye mishahara

Kwani degree nyingi wanafanya nn...aisee nyny inaonyesha mtaanza uchawi huko makazini mbona mmeumia Sana kwa kipimo gani kinachoonyesha masters hawafanyi kazi
Watu wanazitafuta kupandisha mishahara na sio kuleta ufanisi. Ndo maana hawazitambui. Dkt anaifanyia kazi, nipe mfano wa masters degree zinazotenda kazi kwa ufanisi hapa nchini??
 
Watu wanazitafuta kupandisha mishahara na sio kuleta ufanisi. Ndo maana hawazitambui. Dkt anaifanyia kazi, nipe mfano wa masters degree zinazotenda kazi kwa ufanisi hapa nchini??
Kwani hzo masters kazi zinafanyia wapi..au unadhani masters ni mashine yakusaga
 
Mkuu andaa hela ukasome
Elimu ni udhaifu, nambie nitafute hela sio kusoma. Kama masters yako ndo imekuleta kuanzisha uzi wa huu ili mpandishwe mishahara, basi nasubiri siku mpandishwe mulipwe hata milioni 20 per month. Mkuu hakuna mtumishi alitetajirika na kutambulika akiwa mtumishi wa umma. Subiri kiinua mgongo bro. Na shida yenu ni hizo akili zenu za kukusanya vyeti zinawatesa saa hii. Kuna elimu ya darasani na ya mtaa.
 
Sasa hapa unatafuta Nini siuendelee kutafuta hela huko uwe tajiri..kwanza tajiri huwa ha comment maneno mengi hv ww ni mswahili swahili tu🤣
 
Sasa hapa unatafuta Nini siuendelee kutafuta hela huko uwe tajiri..kwanza tajiri huwa ha comment maneno mengi hv ww ni mswahili swahili tu🤣
Utakua una masters uchwara tu. Kama unabishana na mswahili, utakua una mastadhi ini kiswahili.
 
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Ili muanze ujinga wa kujiita Masters so & so? Kama ujinga uliotamalaki sasa kujiita CPA so & so....FOOLISH!
 
Utakua una masters uchwara tu. Kama unabishana na mswahili, utakua una mastadhi ini kiswahili.
Mswahili mwenyewe amebaki maneno tu na wivu hana uwezo wa kwenda kusoma masters...kwani na ww una masters?
 
Ili muanze ujinga wa kujiita Masters so & so? Kama ujinga uliotamalaki sasa kujiita CPA so & so....FOOLISH!
Mbona unapaniki Sana kwani tukijiita masters ww utapungukiwa na Nini au wivu tu unakutesa
 
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Je hizo masters tunazotaka zitambuliwe kwenye salary scale...pia zina add value kwenye perfomance ya kazi husika au ndio title tu?
 
Endelea kujifariji hvo hvo.. Walimu daima huwa hawapendani we baki tu na diploma yako na salary slip yako inayosoma deni mil. 45🤣
Unasoma ili uje kulilia mshahara...ujinga mtupu!! Unajua kufanya utafiti lakini umeshindwa kutafiti chakukuingizia pesa unang'ang'ana na kodi za hawa maskini wasio na maji,umeme,dawa nk.
Mlitakiwa muombe kupunguziwa mshahara ili msaidie huduma za jamii ninyi msake kimkakati!!
 
Umesoma masters ili uje kulilia mshahara?? Mi nasoma kilimo,kuchomelea nk. kama mshahara kiduchu njoo nikuajiri uwe sekretari wangu ila hakikisha unajua kujipodoa upodoke 🤣
Kwani ww inakuhusu nini si umuache na masters yake ww uendelee nz kuchomelea vyuma... wivu tu umekujaa
 
Je hizo masters tunazotaka zitambuliwe kwenye salary scale...pia zina add value kwenye perfomance ya kazi husika au ndio title tu?
Mkuu andaa hela uende ukasome kwani degree zime add value kwenye performance kwa kiasi kipi mpaka Sasa, we unaumia nini kwani umeombwa ww... tafadharini msije mkaanza uchawi huko makazini kusoma nmeshindwa hamtaki wenzenu waongezewe salary🚮
 
Umesoma masters ili uje kulilia mshahara?? Mi nasoma kilimo,kuchomelea nk. kama mshahara kiduchu njoo nikuajiri uwe sekretari wangu ila hakikisha unajua kujipodoa upodok
Inaonyesha siku serikali ikianza kutoa mshahara wa masters we jamaa utawewuka akili...tulia aliyesoma amesoma muda ukifika tu atapata stahiki yake..acha mapovu ya ajabu ajabu vyuo kibao omba ukasome
 
Back
Top Bottom