BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Masters ya medicine, engineering, veterinary Usichanganye na hizo nyingineWote tu wenye Masters/PhD bila kujali ni ya nn nawapa heshima Sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Masters ya medicine, engineering, veterinary Usichanganye na hizo nyingineWote tu wenye Masters/PhD bila kujali ni ya nn nawapa heshima Sana
Uzi huu ukikubalika na Serikali mimi nitarudi tena shule.SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Bunge linaendelea labda wabunge watausoma huu ujumbe Kama hawapo busy na report ya CAGSERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Afrika ipi hiyo? Masters degree ni added advantage tu.SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Duh aisee hongera zakeTumefanya kazi na jamaa alikuwa na almost 16 kweny utumishi wa umma ana masters na alikuwa na cheo cha principal officer tu.
Sasa ni mkurugenzi kabisa karuka kumpita meneja mpaka juu...ila mda sana tangu awe mkurugenzi status zake naona zinahusu ishu za PhD sijui ndo anasomea maana anapost sana ishu za PhD.
Master za zayoniKuna masters za mwezi mmoja tena za online hapo ndio tutasikia mtu ana diploma mpaka kuwa na master
👏👏🙏🏿Ninavyojua mimi ukipata masters kwanza unapewa ka 'hongera' kwa kupewa double increment.
Lakini pili, bila kuwa na masters hawezi kupanda cheo cha kiutumishi kufika level ya 'afisa mkuu', utakwama kwenye 'afisa mwandamizi'
Na tatu, kwenye taasisi nyingi za umma hauwezi kupata cheo cha kiuongozi (mfano meneja au mkurugenzi) kama hauna sifa hiyo ya elimu ya uzamili pamoja na sifa nyingine.
Zaidi ya hapo unataka nini?? Kazi nyingi serikalini zinaweza kufanywa na mtu mwenye stashahada au shahada ya kwanza, malipo ni matokeo ya kazi na sio elimu. Elimu inakusaidia kutekeleza majukumu yako.
Watanzania wengi wanasoma ili kupata kazi na wanafanya kazi ili kupata mshahara.Ninavyojua mimi ukipata masters kwanza unapewa ka 'hongera' kwa kupewa double increment.
Lakini pili, bila kuwa na masters hawezi kupanda cheo cha kiutumishi kufika level ya 'afisa mkuu', utakwama kwenye 'afisa mwandamizi'
Na tatu, kwenye taasisi nyingi za umma hauwezi kupata cheo cha kiuongozi (mfano meneja au mkurugenzi) kama hauna sifa hiyo ya elimu ya uzamili pamoja na sifa nyingine.
Zaidi ya hapo unataka nini?? Kazi nyingi serikalini zinaweza kufanywa na mtu mwenye stashahada au shahada ya kwanza, malipo ni matokeo ya kazi na sio elimu. Elimu inakusaidia kutekeleza majukumu yako.
Sawa. Ila tunafikiri UTENDAJI WAKO WA KAZI, UWAJIBIKAJI NA KITIMIZA TARGETS KAZINI KUTAKUFANYA UPATE MSHAHARA MNONO!SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Mzalendo Uchwara nimeona Una kitu!Ninavyojua mimi ukipata masters kwanza unapewa ka 'hongera' kwa kupewa double increment.
Lakini pili, bila kuwa na masters hawezi kupanda cheo cha kiutumishi kufika level ya 'afisa mkuu', utakwama kwenye 'afisa mwandamizi'
Na tatu, kwenye taasisi nyingi za umma hauwezi kupata cheo cha kiuongozi (mfano meneja au mkurugenzi) kama hauna sifa hiyo ya elimu ya uzamili pamoja na sifa nyingine.
Zaidi ya hapo unataka nini?? Kazi nyingi serikalini zinaweza kufanywa na mtu mwenye stashahada au shahada ya kwanza, malipo ni matokeo ya kazi na sio elimu. Elimu inakusaidia kutekeleza majukumu yako.
Nchi nyingine zikoje Mkuu?Zaidi ya hapo tunataka ziwe na salary scale Kama ilivyo kwa nchi zingine
Mabadiliko yaliyoletwa na shahada ni pamoja na Ujenzi wa SGR, stiger goggle, Fly over.Leteni mabadiriko kwanza ya hizo shahada mlizo nazo.
Sio mnawaza hela tu.