Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Masters nyingi ukitoa za kidaktari hawafanyi kaziSERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Watu wanazitafuta kupandisha mishahara na sio kuleta ufanisi. Ndo maana hawazitambui. Dkt anaifanyia kazi, nipe mfano wa masters degree zinazotenda kazi kwa ufanisi hapa nchini??Kwani degree nyingi wanafanya nn...aisee nyny inaonyesha mtaanza uchawi huko makazini mbona mmeumia Sana kwa kipimo gani kinachoonyesha masters hawafanyi kazi
Kwani hzo masters kazi zinafanyia wapi..au unadhani masters ni mashine yakusagaWatu wanazitafuta kupandisha mishahara na sio kuleta ufanisi. Ndo maana hawazitambui. Dkt anaifanyia kazi, nipe mfano wa masters degree zinazotenda kazi kwa ufanisi hapa nchini??
Ni wachumia tumbo. Hamna utendaji hapoKwani hzo masters kazi zinafanyia wapi..au unadhani masters ni mashine yakusaga
Elimu ni udhaifu, nambie nitafute hela sio kusoma. Kama masters yako ndo imekuleta kuanzisha uzi wa huu ili mpandishwe mishahara, basi nasubiri siku mpandishwe mulipwe hata milioni 20 per month. Mkuu hakuna mtumishi alitetajirika na kutambulika akiwa mtumishi wa umma. Subiri kiinua mgongo bro. Na shida yenu ni hizo akili zenu za kukusanya vyeti zinawatesa saa hii. Kuna elimu ya darasani na ya mtaa.Mkuu andaa hela ukasome
Acha wivu nenda kasome.Masters za bongo hazina tija... hasa ya ualimu bora mwalimu wa diploma kuliko masters
Sasa hapa unatafuta Nini siuendelee kutafuta hela huko uwe tajiri..kwanza tajiri huwa ha comment maneno mengi hv ww ni mswahili swahili tu🤣Elimu ni udhaifu, nambie nitafute hela sio kusoma. Kama masters yako ndo imekuleta kuanzisha uzi wa huu ili mpandishwe mishahara, basi nasubiri siku mpandishwe mulipwe hata milioni 20 per month. Mkuu hakuna mtumishi alitetajirika na kutambulika akiwa mtumishi wa umma. Subiri kiinua mgongo bro. Na shida yenu ni hizo akili zenu za kukusanya vyeti zinawatesa saa hii. Kuna elimu ya darasani na ya mtaa.
Utakua una masters uchwara tu. Kama unabishana na mswahili, utakua una mastadhi ini kiswahili.Sasa hapa unatafuta Nini siuendelee kutafuta hela huko uwe tajiri..kwanza tajiri huwa ha comment maneno mengi hv ww ni mswahili swahili tu🤣
Ili muanze ujinga wa kujiita Masters so & so? Kama ujinga uliotamalaki sasa kujiita CPA so & so....FOOLISH!SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Mtu ana certificate/diploma,wewe unaongelea habari za Masters kwa nini asiumie !Kwani degree nyingi wanafanya nn...aisee nyny inaonyesha mtaanza uchawi huko makazini mbona mmeumia Sana kwa kipimo gani kinachoonyesha masters hawafanyi kazi
Umesoma masters ili uje kulilia mshahara?? Mi nasoma kilimo,kuchomelea nk. kama mshahara kiduchu njoo nikuajiri uwe sekretari wangu ila hakikisha unajua kujipodoa upodoke 🤣Acha wivu nenda kasome.
Je hizo masters tunazotaka zitambuliwe kwenye salary scale...pia zina add value kwenye perfomance ya kazi husika au ndio title tu?SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan
"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"
Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Unasoma ili uje kulilia mshahara...ujinga mtupu!! Unajua kufanya utafiti lakini umeshindwa kutafiti chakukuingizia pesa unang'ang'ana na kodi za hawa maskini wasio na maji,umeme,dawa nk.Endelea kujifariji hvo hvo.. Walimu daima huwa hawapendani we baki tu na diploma yako na salary slip yako inayosoma deni mil. 45🤣
Kwani ww inakuhusu nini si umuache na masters yake ww uendelee nz kuchomelea vyuma... wivu tu umekujaaUmesoma masters ili uje kulilia mshahara?? Mi nasoma kilimo,kuchomelea nk. kama mshahara kiduchu njoo nikuajiri uwe sekretari wangu ila hakikisha unajua kujipodoa upodoke 🤣
Mkuu andaa hela uende ukasome kwani degree zime add value kwenye performance kwa kiasi kipi mpaka Sasa, we unaumia nini kwani umeombwa ww... tafadharini msije mkaanza uchawi huko makazini kusoma nmeshindwa hamtaki wenzenu waongezewe salary🚮Je hizo masters tunazotaka zitambuliwe kwenye salary scale...pia zina add value kwenye perfomance ya kazi husika au ndio title tu?
Inaonyesha siku serikali ikianza kutoa mshahara wa masters we jamaa utawewuka akili...tulia aliyesoma amesoma muda ukifika tu atapata stahiki yake..acha mapovu ya ajabu ajabu vyuo kibao omba ukasomeUmesoma masters ili uje kulilia mshahara?? Mi nasoma kilimo,kuchomelea nk. kama mshahara kiduchu njoo nikuajiri uwe sekretari wangu ila hakikisha unajua kujipodoa upodok