Tunaomba Serikali ianze kuitambua Masters kwenye mishahara

SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Uzi huu ukikubalika na Serikali mimi nitarudi tena shule.
 
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Bunge linaendelea labda wabunge watausoma huu ujumbe Kama hawapo busy na report ya CAG
 
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Afrika ipi hiyo? Masters degree ni added advantage tu.

Halafu kwa Tanzania masters degree nyingi ni za kubumba, unakuta mtu alisomea BA in education lakini ana Masters in Business Administration au BSc in Engineering halafu akapata Masters in Business Administration!

Kwa nini alishindwa kuendeleza taaluma yake ya mwanzo?
 
Duh aisee hongera zake
 
πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸΏ
 
Watanzania wengi wanasoma ili kupata kazi na wanafanya kazi ili kupata mshahara.
 
SERIKALI SIKIVU YA Rais Samia Suluhu Hassan

"Tunaomba ianze kuitambua Elimu ya Shahada ya Pili kwenye Utumishi wa umma kwa kuiwekea Salary scale"

Africa pote Masters degree inatambulika kasoro Tz tu. Asante.
Sawa. Ila tunafikiri UTENDAJI WAKO WA KAZI, UWAJIBIKAJI NA KITIMIZA TARGETS KAZINI KUTAKUFANYA UPATE MSHAHARA MNONO!
kuwa na elimu na vyeti lukuki havina maana kama wewe ni mvivu, huna ubunifu, mlevi, wachelewa kazini, kucheza na simu muda wote, breaks zako kazini ni nyingi na masaa, kuhudhuria misiba lukuki na nini, hapo hata uwe na PhD's milioni hutafikirika kupata mshahara mkubwa!
 
Mzalendo Uchwara nimeona Una kitu!
Lakini Nijuavyo mimi hata hiyo Master ya Kuwa Afisa Mkuu Nadhani sio master yeyote!
Mfano Mtu Amesoma bachelor ya Mechanical Engineering Au Bachelor of Medicine inabidi Usome Master of Medicine?
Huwezi Ukatambulika ukisoma master tofauti na Ulichosomea awali!
Sijui Kwanini huu utaratibu Upo hivo.
Kuna Jamaa yangu Mmoja alisoma Bachelor of Science in electrical Engineering,
Sasa ili Apande Afisa Mkuu kaambiwa Asime Master of Electrical Engineering, hivyo ndivyo Utumishi wanaamimi Unakuwa!
Sijui Wewe una mawazo gani?
 
Leteni mabadiriko kwanza ya hizo shahada mlizo nazo.

Sio mnawaza hela tu.
Mabadiliko yaliyoletwa na shahada ni pamoja na Ujenzi wa SGR, stiger goggle, Fly over.
Ili tutengeneze Rocket πŸš€ tunahitaji tuwe na masters kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…