king gwangaeto
Member
- Aug 15, 2016
- 47
- 46
Mpuuzi mmoja weweTaifa la kulialia
Mara ya mwisho umetibiwa lini hapo ndugu. Kwanini usiwe humble na ukatafuta kulijua jambo. Kwani ukikaa kimya utapita upungufu wa damu ndugu. Kukaa kimya ni hekima kubwa sana kama hulijui jambo. Dont jump to conclusion mtani.... maisha hayako hivyo.Unavyoonekana wewe ni mfanyakazi wa Dar Group sio mteja au mgonjwa, acheni majungu. Kama malipo ni madogo tafuta kazi mahali pengine
Unavyoonekana wewe ni mfanyakazi wa Dar Group sio mteja au mgonjwa, acheni majungu. Kama malipo ni madogo tafuta kazi mahali pengine
Nina wasiwasi na wewe yawezekana ni mmoja wa Management,Unavyoonekana wewe ni mfanyakazi wa Dar Group sio mteja au mgonjwa, acheni majungu. Kama malipo ni madogo tafuta kazi mahali pengine
Na wewe thibitisha kama wewe si mkurugenzi unayelalamikiwa. Mtoa hoja ameomba uchunguzi ufanyike hajasema viongozi wafunguliwe mashtaka au wakamatwe, ni vyema tukasubiri wahusika wafanye uchunguzi, matokeo ya uchunguzi ndio yataonyesha kama haya ni majungu au ni ukweli ili hatua stahiki zichukuliwe.Hapa naona kama majungu kazini,Mimi na familia yangu ni Mdau mkubwa sana kwenye hiyo Hospital huduma zake ni nzuri sana na hospital inafanywa maboresho kuanzia majengo hadi huduma.
Huyu wala siyo daktari. Wale "vipanga" wa PCB niliokuwa nawaona shule miaka ile wakipigania nafasi za kwenda Muhimbili hawawezi kuwa na uandishi duni kiasi hiki, unless mtu aniambie siku hizi madaktari wanasomea VETA. Huyu ni mtu mwenye chuki binafsi na majungu tu. Eti 'dharula', mara 'hekali nne', vituko tu!Umejitahidi kuandika bwana Daktari. Kilio chenu tutakifanyia kazi.
We ndo DG eeh? Naona kama umeanza kuteseka.Huyu wala siyo daktari. Wale "vipanga" wa PCB niliokuwa nawaona shule miaka ile wakipigania nafasi za kwenda Muhimbili hawawezi kuwa na uandishi duni kiasi hiki, unless mtu aniambie siku hizi madaktari wanasomea VETA. Huyu ni mtu mwenye chuki binafsi na majungu tu. Eti 'dharula', mara 'hekali nne', vituko tu!
Sio majungu, mimi binafsi nilimpeleka mgonjwa wangu pale, huduma ni mbovu sana pako local, watoa huduma hawana morali ya kazi, majengo machakavu.Acha majungu dogo. Husipofuata standard Treatment Guideline NHIF hawawezi kukulipa.
Halafu siyo kweli kwamba STG ina matibabu yote hiyo ni guideline ambayo baadhi ya maeneo ipo very shallow. Wewe utakuwa ni miongoni wa madaktari wazembe, mpenda majungu kwenye hiyo hospital.
DG wapi? Watu wafanye kazi waache majungu ya kitotoWe ndo DG eeh? Naona kama umeanza kuteseka.
Mleta mada kashauri Rais aunde tume ichunguze sasa kama sio kweli siitajulikana? Wasiwasi wako nini mpaka uite majungu?
Kuna mitanzania flani iko hovyo sana haitaki ukweli usemwe ili taifa lipone, sasa omba hili lisifike kwa JPM likifika ujue ugali wako uko mashakani Rais hacheki na kima.
Wewe kama ni mnufaika wa yanayoendelea ni bora ukakaa kimya maana unavyozidi kuongea tena bila facts unazidi kumuharibia bosi wako alyekutuma. Acha walioombwa waingilie kati wathibitishe.... maji na mafuta vutajitenga. Huna haja ya kupaniki.DG wapi? Watu wafanye kazi waache majungu ya kitoto
Tumemsikia mdau bwashee2020 , tunakuja kuchunguza hii hospitali. Ondoa shaka bwana DG, lazima nyeupe itakuwa nyeupe na si vinginevyo.DG wapi? Watu wafanye kazi waache majungu ya kitoto
Mbona umejibu kwa mihemuko sana...vipi ndugu?? Kwani umelipwa shingapi ?? Hakuna ovu litakalo dumu milele. Maisha ni natural scince. Tulia usipate heat sana beyond ur heating capacity...uta melt.Huyu wala siyo daktari. Wale "vipanga" wa PCB niliokuwa nawaona shule miaka ile wakipigania nafasi za kwenda Muhimbili hawawezi kuwa na uandishi duni kiasi hiki, unless mtu aniambie siku hizi madaktari wanasomea VETA. Huyu ni mtu mwenye chuki binafsi na majungu tu. Eti 'dharula', mara 'hekali nne', vituko tu!
Huna hoja ya msingi. Channels za kupeleka malalamiko kama haya zipo, tena rasmi kabisa na kisheria, kwanini usifuate hizo unakuja kujificha nyuma ya fake ID hapa? Ungekuwa umeshafuata channels hizo ikashindikana ningekuelewa. Kwa sasa unachofanya ni majungu tu. Na tabia mojawapo ya majungu na umbea ni kwa msemaji kupenda kujificha na kuongelea vichakani na mivunguni.wewe kama ni mnufaika wa yanayoendelea ni bora ukakaa kimya maana unavyozidi kuongea tena bila facts unazidi kumuharibia bossi wako alyekutuma. Acha walioombwa waingilie kati wathibitishe....maji na mafuta vutajitenga. huna haja ya kupaniki.
Wewe na huyo mwenzio ni walewale wapika majungu. Mnashindwa nini kupeleka malalamiko rasmi kwa njia rasmi na badala yake mnakuja kujificha hapa kwa fake ID?Tumemsikia mdau bwashee2020 , tunakuja kuchunguza hii hospitali. Ondoa shaka bwana DG, lazima nyeupe itakuwa nyeupe na si vinginevyo.
Pole sana mkuu kama umeumia na huu ujumbe