Ralph Tyler
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 2,828
- 3,579
VETA Chang'ombe ulimaliza mwaka gani?mbona umejibu kwa mihemuko sana...vipi ndugu?? kwani umelipwa shingapi ?? hakuna ovu litakalo dumu milele. maisha ni natural scince. tulia usipate heat sana beyond ur heating capacity...uta melt.
Under cover ID au masked ID ni kitu cha kawaida sana katika kufikisha ujumbe kwa hadhira kubwa. Naona unakuja na hoja ya majungu unashindwa pangua hoja zilizowekwa mezani. Kafanye utafiti halafu urudi kuongea kwa hoja. Hiki sio kijiwe cha umbea. Njoo na facts tuzungumze facts, unamdhalilisha bossi wako...be humble...kuwa tayari kujifunza. Rudi kwa aliyekutuma umtetee akupe data.Huna hoja ya msingi. Channels za kupeleka malalamiko kama haya zipo, tena rasmi kabisa na kisheria, kwanini usifuate hizo unakuja kujificha nyuma ya fake ID hapa? Ungekuwa umeshafuata channels hizo ikashindikana ningekuelewa. Kwa sasa unachofanya ni majungu tu. Na tabia mojawapo ya majungu na umbea ni kwa msemaji kupenda kujificha na kuongelea vichakani na mivunguni.
Poor u.... bado nipo VETA. Karibu tuzidi kupata weledi wa kazi. Namshauri na bosi wako aje.VETA Chang'ombe ulimaliza mwaka gani?
Lazima utakuwa mnufaika wewe, tulia JPM aipate hii taarifa aunde timu ya kuchunguza ukweli utajulikana kama ni majungu tutajua we tuliza munkari yako. Ukileta ujuaji humu JF kuna watu wanajua zaidi yako, ukileta kejeli humu kuna watu wanajua maradufu.Huna hoja ya msingi. Channels za kupeleka malalamiko kama haya zipo, tena rasmi kabisa na kisheria, kwanini usifuate hizo unakuja kujificha nyuma ya fake ID hapa? Ungekuwa umeshafuata channels hizo ikashindikana ningekuelewa. Kwa sasa unachofanya ni majungu tu. Na tabia mojawapo ya majungu na umbea ni kwa msemaji kupenda kujificha na kuongelea vichakani na mivunguni.
Unaweza kuandika barua rasmi ya kiofisi kwenda kwa waziri wa afya na nakala ukaituma ofisi ya Rais, tafadhali iandike kwa utulivu na uweke mapendekezo na ukiukwaji wote wa kitabibu unaosababishwa na uongozi mbovu pamoja na mianya ya uhujumu kwa wateja.Wewe na huyo mwenzio ni walewale wapika majungu. Mnashindwa nini kupeleka malalamiko rasmi kwa njia rasmi na badala yake mnakuja kujificha hapa kwa fake ID?
Hujaweka facts zozote hapa zaidi ya kulialia na kutaka uhalalishiwe uvivu wako. Hebu taja kwanza taaluma yako, tuanzie hapo.under cover ID au masked ID ni kitu cha kawaida sana katika kufikisha ujumbe kwa hadhira kubwa. naona unakuja na hoja ya majungu unashindwa pangua hoja zilizowekwa mezani. kafanye utafiti halafu urudi kuongea kwa hoja. hiki sio kijiwe cha umbea. njoo na facts tuzungumze facts. unamdhalilisha bossi wako ...be humble...kuwa tayari kujifunza. rudi kwa aliyekutuma umtetee akupe data.
No such an evil [work with no confidence] and workers mistreated wellAcha majungu dogo. Husipofuata standard Treatment Guideline NHIF hawawezi kukulipa.
Halafu siyo kweli kwamba STG ina matibabu yote hiyo ni guideline ambayo baadhi ya maeneo ipo very shallow. Wewe utakuwa ni miongoni wa madaktari wazembe, mpenda majungu kwenye hiyo hospital.
Kweli ni "weredi". Huko VETA mnasomeshwa kwa lugha ya kingoreme?poor u....bado nipo VETA. karibu tuzidi kupata weredi wa kazi. namshauri na bossi wako aje.
mimi ni fundi magari kutoka VETA ndugu msomi. nisamehe kwa uandishi wangu duni na kulialia. ni njaa tu na wivu ndo unanisumbua ndugu msomi.Hujaweka facts zozote hapa zaidi ya kulialia na kutaka uhalalishiwe uvivu wako. Hebu taja kwanza taaluma yako, tuanzie hapo.
Kwahiyo unajiamini kabisa kuwa umeandika taarifa inayoweza kumfikia JPM?Lazima utakuwa mnufaika wewe, tulia JPM aipate hii taarifa aunde timu ya kuchunguza ukweli utajulikana kama ni majungu tutajua we tuliza munkari yako.
Ukileta ujuaji humu JF kuna watu wanajua zaidi yako, ukileta kejeli humu kuna watu wanajua maradufu.
Tuliaaaa
nisamehe ndugu yangu...nimeathiliwa kimatamshi na ukanda ninaotokea. ila nadhani concept umeipata ndugu msomi.Kweli ni "weredi". Huko VETA mnasomeshwa kwa lugha ya kingoreme?
Exactly, wewe ndio umetoa ushauri mzuri. Lakini kwa kuwa mleta mada shida yake ni majungu tu, hatofuata ushauri huu.Unaweza kuandika barua rasmi ya kiofisi kwenda kwa waziri wa afya, na nakala ukaituma ofisi ya raisi tafadhali iandike kwa utulivu na uweke mapendekezo na ukiukwaji wote wa kitabibu unaosababishwa na uongozi mbovu pamoja na mianya ya uhujumu kwa wateja.
Endelea "kuathiliwa"nisamehe ndugu yangu...nimeathiliwa kimatamshi na ukanda ninaotokea. ila nadhani concept umeipata ndugu msomi.
una primitive thinking sana bossi wangu...ila pole maana pameguswa panapouma uma...lazima upige kelele. huwezi kutulia.Exactly, wewe ndio umetoa ushauri mzuri. Lakini kwa kuwa mleta mada shida yake ni majungu tu, hatofuata ushauri huu.
Afadhali sasa umejielewa. Sasa jitulize, kama una hoja kaa chini uiandike vizuri na ushahidi wote ulionao pamoja na vielelezo kama unavyo, upeleke panapohusika kwa utaratibu rasmi kabisa, utaona matokeo mazuri. Vinginevyo huku kwenye fake ID utatupiwa madongo tu.mimi ni fundi magari kutoka VETA ndugu msomi. nisamehe kwa uandishi wangu duni na kulialia. ni njaa tu na wivu ndo unanisumbua ndugu msomi.
Wewe ndiye unayeweweseka mtandaoni na uandishi duni usio na hoja. Fuata ushauri mzuri uliopewa, vinginevyo utasugua gaga sana hapo Dar Group na certificate yako ya VETA.una primitive thinking sana bossi wangu...ila pole maana pameguswa panapouma uma...lazima upige kelele. huwezi kutulia.
Naona messenger wa mkurugenzi umefika kutengua hoja..Hapa naona kama majungu kazini,Mimi na familia yangu ni Mdau mkubwa sana kwenye hiyo Hospital huduma zake ni nzuri sana na hospital inafanywa maboresho kuanzia majengo hadi huduma.