DOKEZO Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Tulieni kwanza wachunguzi waje,ndo tutajua mbichi na mbivu.
Sijui tunakwama wapi wabongo,tunapenda sana kukosoana lugha,miandiko, ili hali kinachozungumzwa kimeeleweka.
suala la miandiko n.k wazungu haliwapi shida wanaangalia hoja.Sisi tuna matatizo gani lakini?
 
 
Na huyu unataka umfukuze kazi? maana ameeleza wazi kuwa waliofuata hizo unazoita taratibu wamesimamishwa kazi,huyu kakupiga chenga
ngoja wanaosikiliza wamsikilize,huna haja ya kutumia nguvu kumnyamazisha,muda utaongea
kama ni mpiga majungu na kukupaka matope,takukuru watakusafisha.
 
Hata viongozi wetu wenyewe hawana channel zaidi ya mitandao
 
Huu ndio Uzalendo, sasa hapa wale wavaa kaunda suti kama wanatufa taarifa basi waifanyie kazi hii.
 
Ona nguchiro huyu.
 
Wewe ni mpumbavu sana, Dr Slaa amepatia ujiko JF, hapa ndipo alikuwa anachota nondo na data za kwenda kuwasulubu bungeni.
 
Hizo Songombingo haziishi Dar Group?Tokea huyo mhindi Dr Nelson alikumbwa na kashfa nyingi sana za kuwa na fake qualifications za udaktari,kuwa na chumba ndani ya hospitali kilichosadikiwa alikitumia kwa ngono.
Enzi hizo magazeti ya umma yalimwandama sana.Lakini nayeye alikuwa ns ma godfather.
 
Ona nguchiro huyu.

Hahahahaaa. Bwasheee nakusalimu.

Nilikuwa muajiriwa kwenye moja ya hospitali za mkoa za Serikali miaka minne(4) na nilikuwa mtukutu huyu dogo akasome. Kwa miaka mitano(5) sasa nimekuwa muajiri wa watanzania zaidi ya 30 kwenye sekta ya afya(Mimi ni Daktari). Mkuu hili andiko lina ukweli mchache na majungu mengi sana.
 


Dogo wewe ni mlalamishi tu na ukikuwa utaacha hizi mambo maana utagundua hazikusaidii kitu zaidi ya kukupa frustration kazini.

Kwa maelezo haya uliyoyatoa hapa ukifanya hivyo over utilization ya NHIF itawahusu. Kitu kingine unachotakiwa ujue hao NHIF hata uwe perfect kiasi gani lazima wakukate 10%-15% ya malipo yako, Yaani ukiclaim 10M ujuea NHIF watakukata 1M-1.5M na ukiclaim 100M ujue NHIF watakukata 10M-15M. Ukiwa na madaktari ambao hawapo makini kwenye kujaza zile form na adherence to STG makato ni zaidi hapo.

Main reasons za makato ya pesa zako za NHIF ni Over utilization, non adherence to STG and Computation error at your facility.
 
najua hoja umeielewa, ila unakaza ubongo sababu ni mmoja wa wanufaika. ila hakuna ovu linalodumu milele. lazima ifike mahali taaluma ya mtu iheshemiwe.
 
kama na wewe ni muajiri nikushauri tu jua namna nzuri ya ku-handle waajiriwa wako. heshimu taaluma ya mtu na uache ubabe kwa unao waongoza. unaweza ukawaonea na wasikwambie ila wakazunguka nyuma yako likatokea jambo ambalo hutaamini kama limetendwa na hao unaowaona ni wanyonge.
 
nadhani ni muda muafaka kwa wizara husika kuingilia kati hii hospitali.
 
Hiyo hospitali muda si mrefu itaokotwa na serikali kama Fedha za deci, Mr kuku na anakoelekea qnet.
 
kama na wewe ni muajiri nikushauri tu jua namna nzuri ya ku-handle waajiriwa wako. heshimu taaluma ya mtu na uache ubabe kwa unao waongoza. unaweza ukawaonea na wasikwambie ila wakazunguka nyuma yako l


Sawa colleague, kaka bado una mawenge ya Intern.

Nakutakia mafanikio mema mkuu
 
Sawa colleague, kaka bado una mawenge ya Intern.

Nakutakia mafanikio mema mkuu
kaka nimemaliza intern 2011 sjui wewe ulikuwa wapi enzi hizo. probably ulikuwa bado undergraduate. nakushauri mwambie bossi wako aliyekutuma atulie maana anaweza asipoteze kazi tu bali akakumbwa na kesi ya uhujumu uchumi kama ntaanika na madudu yanayofanyika kitengo cha meno. nakushauri kwenye kituo chako u-play smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…