DOKEZO Tunaomba Serikali iingilie kati Hospitali ya Dar Group (T.O.H.S), Mmiliki hajulikani

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huyo DG ndio ameiharibu hiyo hospitali , alichosema mleta uzi ni 90% true
 
Waziri wa afya si amesema yeye anaifahamu hiyo fani inside out ngoja sasa tuone, mtihani wake wa kwanza umewasili. Tunatanguliza shukrani maana lazima tupate mrejesho vinginevyo sintofahamu haitakubalika.
 
Niliwahi kufanya field idara ya finance wakati huo boss wa finance ni Ndg.Albert, baada ya kuona huu uzi ikabidi niwasiliane na baadhi ya wafanyakazi ambao nina namba zao, walichoniambia ndio hicho mleta mada alichosema
 
anzisheni saccos
 


Hahahahaaa kipindi hucho Mimi nilikuwa mbwinde nachoma mkaaa.

Kaka mie sina bosi bana,mie ni machinga tu nipo kitaaa huku nauza mkaa na nyanya.

Kwa hiyo bosi wenu hapo ni full kanjanja? Hahahahaaa haya bana mnyooshe tu.
 
Hahahahaaa kipindi hucho Mimi nilikuwa mbwinde nachoma mkaaa.

Kaka mie sina bosi bana,mie ni machinga tu nipo kitaaa huku nauza mkaa na nyanya.

Kwa hiyo bosi wenu hapo ni full kanjanja? Hahahahaaa haya bana mnyooshe tu.
hahaha..mara hii umekuwa mmachinga bossi. nakuelewa. all the best.
 
hahaha..mara hii umekuwa mmachinga bossi. nakuelewa. all the best.


Hahahahaaa. Kaka mie hata hiyo Dar group sijui ipo wapi sasa naona unaanza kunilink na bosi wenu.

Tunasubiri NHIF waje kufanya fraud investigation,DPP anawafungulia kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
 
Hahahahaaa. Kaka mie hata hiyo Dar group sijui ipo wapi sasa naona unaanza kunilink na bosi wenu.

Tunasubiri NHIF waje kufanya fraud investigation,DPP anawafungulia kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
Duuu
PA wakubwa pale
 
Bwashee ukiona Serikali imetulia haichukui hatua jua kuna wanufaika au kuna rushwa kali inatembezwa, kuna taarifa humu ilitolewa ya madudu ya Wakala wa manunuzi Serikalini,(GPSA)hakuna jambo lolote limefanyika
 
Kiongozi unatumika vibaya sana.. Taasisi iliyojijengea heshima kwa miaka kibao na inayopambana kusaidia juhudi za Rais wa awamu ya tano kwa kutoa huduma sahihi kwa wakazi wa Temeke na viunga vyake.. Umetumia muda mchache kutaka kuichafua.. Me ni hospital ninayoitumia na inafanya vema sana.. Sasa wewe kwa interest zako unataka kuichafua not fair.. DG sijui ndo kiongozi wa pale kakukosea nini unampakazia vitu, Alad account yenyewe ya Jamii Forum umefungua tarehe 8 Dec 2020.. It means ulikua na shughuli maalum kusema mambo ya kuzua

ACHA HIZO MKUU TUCHAPE KAZI MAJUNGU WEKA PEMBENI
 
Ndugu..umejiunga jf dec 22, 2020 ,yaani leo . hii ni ni uthibitisho tosha wewe sio mteja wa TOHS bali ni kibaraka wa huyo haramia wa uchumi na mnyanyasaji....kamwambie hatupoi mpaka haki ipatikane. na umwambie akiendelea kutuma watu ntaanika evidence mtandaoni ambazo hata amini masikio na macho yake. be humble...usikurupuke.
 
Chomoa betri bwanasheee
 
Sidhani kama huyo mkurugenzi atadumu tena.

Naona kama hospitali yenyewe ikirudi serikalini chini ya wizara ya waziri mkuu, ajira, vijana na wenye ulemavu- na ikikabidhiwa kwa OSHA. Mama Mhagama kazi kwako.
 
Kwahiyo na wewe uliejiunga dec 8 unakubali kwa umekuja mahususi kwa ajili ya kuleta UMBEA UMBEA na sio mdau wa JF?? icho ndo nlitaka kuskia very good twende kazi.. huduma nzuri tunayopata wakaz wa Temeke na viunga vyake kila mtu anaiona.. nyie endeleen kupiga kelele

Kuhusu sijui evidence shauri lako utajua mwenyewe😅
 
Well said Raplh.. Hizi fake id tunapata mashaka na weledi na ukweli wa hili swala.. Nadhani ni kheri angefata procedures nzuri na sio kuleta UMBEA UMBEA humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…