Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo DG ndio ameiharibu hiyo hospitali , alichosema mleta uzi ni 90% trueKumbe hospital zisizo na wamiliki ni nzuri aisee. Mimi naifahamu hiyo hospitali, ina huduma nzuri kuliko Amana na Temeke. Nadhani maboresho ni waiwekee bodi yenye nguvu ila wasiichukue serikali maana itaharibika. Imeweza kujiendesha kwa 100% big up mkurugenzi. Ijapo mpigaji ila umehakikisha huduma zinapatikana pia. Hilo ndiyo la msingi, kulingana na maelezo yao inaoneka pia huyu DG ameweka usimamizi madhubuti ikiwa ni pamoja na kuajiri mtu wa surprise monitoring/visit kwa vyumba vya madaktari ili kuzuia uzembe na upigaji (wa watumishi (wenyewe manaitaga CCD)manes na madaktari).
Nadhani Huyo DG angekuwa siyo strick, ingeshakufa zamani hiyo hospitali
Niliwahi kufanya field idara ya finance wakati huo boss wa finance ni Ndg.Albert, baada ya kuona huu uzi ikabidi niwasiliane na baadhi ya wafanyakazi ambao nina namba zao, walichoniambia ndio hicho mleta mada alichosemaAfadhali sasa umejielewa. Sasa jitulize, kama una hoja kaa chini uiandike vizuri na ushahidi wote ulionao pamoja na vielelezo kama unavyo, upeleke panapohusika kwa utaratibu rasmi kabisa, utaona matokeo mazuri. Vinginevyo huku kwenye fake ID utatupiwa madongo tu.
anzisheni saccosUnahudumiwa vizuri sababu madaktari na wahudumu wanajua nini wajibu wao... ila moyoni wana uchungu mwingi... usitete jambo usilolijua. Fanya uchunguzi, kwanini majungu yaanze leo yasianze zamani. Unajua kwamba hata benki ya CRDB ambayo ndio mishahara ya wafanyakazi wa pale inapitia hapo haiwakopeshi kwa sasa sababu ajira zao hazina uhakika. Ndugu usihukumu au kutoa hitimisho... usiwakaange wenzako sababu wewe upo kivulini.
kaka nimemaliza intern 2011 sjui wewe ulikuwa wapi enzi hizo. probably ulikuwa bado undergraduate. nakushauri mwambie bossi wako aliyekutuma atulie maana anaweza asipoteze kazi tu bali akakumbwa na kesi ya uhujumu uchumi kama ntaanika na madudu yanayofanyika kitengo cha meno. nakushauri kwenye kituo chako u-play smart.
hahaha..mara hii umekuwa mmachinga bossi. nakuelewa. all the best.Hahahahaaa kipindi hucho Mimi nilikuwa mbwinde nachoma mkaaa.
Kaka mie sina bosi bana,mie ni machinga tu nipo kitaaa huku nauza mkaa na nyanya.
Kwa hiyo bosi wenu hapo ni full kanjanja? Hahahahaaa haya bana mnyooshe tu.
hahaha..mara hii umekuwa mmachinga bossi. nakuelewa. all the best.
DuuuHahahahaaa. Kaka mie hata hiyo Dar group sijui ipo wapi sasa naona unaanza kunilink na bosi wenu.
Tunasubiri NHIF waje kufanya fraud investigation,DPP anawafungulia kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
Sawa Mh GwajiiAsante kwa maoni yako, tumeyapokea na tutayafanyia kazi...
Ndugu..umejiunga jf dec 22, 2020 ,yaani leo . hii ni ni uthibitisho tosha wewe sio mteja wa TOHS bali ni kibaraka wa huyo haramia wa uchumi na mnyanyasaji....kamwambie hatupoi mpaka haki ipatikane. na umwambie akiendelea kutuma watu ntaanika evidence mtandaoni ambazo hata amini masikio na macho yake. be humble...usikurupuke.Kiongozi unatumika vibaya sana.. Taasisi iliyojijengea heshima kwa miaka kibao na inayopambana kusaidia juhudi za Rais wa awamu ya tano kwa kutoa huduma sahihi kwa wakazi wa Temeke na viunga vyake.. Umetumia muda mchache kutaka kuichafua.. Me ni hospital ninayoitumia na inafanya vema sana.. Sasa wewe kwa interest zako unataka kuichafua not fair.. DG sijui ndo kiongozi wa pale kakukosea nini unampakazia vitu, Alad account yenyewe ya Jamii Forum umefungua tarehe 8 Dec 2020.. It means ulikua na shughuli maalum kusema mambo ya kuzua
ACHA HIZO MKUU TUCHAPE KAZI MAJUNGU WEKA PEMBENI
Chomoa betri bwanasheeeNdugu..umejiunga jf dec 22, 2020 ,yaani leo . hii ni ni uthibitisho tosha wewe sio mteja wa TOHS bali ni kibaraka wa huyo haramia wa uchumi na mnyanyasaji....kamwambie hatupoi mpaka haki ipatikane. na umwambie akiendelea kutuma watu ntaanika evidence mtandaoni ambazo hata amini masikio na macho yake. be humble...usikurupuke.
tunaweka reserve kiongozi...naamini mamlaka zitalishughulikia accordingly....!!Chomoa betri bwanasheee
Kwahiyo na wewe uliejiunga dec 8 unakubali kwa umekuja mahususi kwa ajili ya kuleta UMBEA UMBEA na sio mdau wa JF?? icho ndo nlitaka kuskia very good twende kazi.. huduma nzuri tunayopata wakaz wa Temeke na viunga vyake kila mtu anaiona.. nyie endeleen kupiga keleleNdugu..umejiunga jf dec 22, 2020 ,yaani leo . hii ni ni uthibitisho tosha wewe sio mteja wa TOHS bali ni kibaraka wa huyo haramia wa uchumi na mnyanyasaji....kamwambie hatupoi mpaka haki ipatikane. na umwambie akiendelea kutuma watu ntaanika evidence mtandaoni ambazo hata amini masikio na macho yake. be humble...usikurupuke.
Well said Raplh.. Hizi fake id tunapata mashaka na weledi na ukweli wa hili swala.. Nadhani ni kheri angefata procedures nzuri na sio kuleta UMBEA UMBEA humuAfadhali sasa umejielewa. Sasa jitulize, kama una hoja kaa chini uiandike vizuri na ushahidi wote ulionao pamoja na vielelezo kama unavyo, upeleke panapohusika kwa utaratibu rasmi kabisa, utaona matokeo mazuri. Vinginevyo huku kwenye fake ID utatupiwa madongo tu.