Belt inaweza kuwa ndogo,kubwa au iko chini ya kiwango. Au angalia hali ya rollers(pulleys) na tensioner.Mimi gari yangu sio ya mzungu ni Mjep ila toka nimebadilisha fan belt inapiga kelele kweli lakni baadae inatulia
Sijui natatuaje hili tatizo nimebadilisha fan belt mara kwa mara lakni ola
Sent using Jamii Forums mobile app
E class ipi W210 au W211 au W212?Kaka Nina Mercedes Benz E class inasumbua Sana, nahisi Kama inanyonya betri tatizo litakuwa ni nini?
Vipi kuhusu hummer 3 spare Zake nahitaji Kununua this year
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wamiliki na wanapoenda kumiliki magari ya Mzungu tukutane hapa Kwa ushauri na kubadilishana mawazo. Najua ni changamoto Sana kumiliki haya magari hapa Tz kuanzia mafundi,spare na uchumi vile vile. Nina uzoefu mkubwa sana kwenye haya magari. Nimetumia BMW,Mercedes,Audi, Volvo na sasa hivi natumia VW Golf Mk5 2.0FSi. Niulize chochote kuhusu magari haya nitakujibu kwa uzoefu wangu. Karibuni tujadiliane. Jitahidi kununua gari isiozidi miaka 10 kwasababu vitu vingi kwenye gari vinachoka baada ya miaka kumi.
M-ManualNiambie matumizi ya gia "M" yenye rangi nyekundu na hiyo + na - inamaanisha nini na kuna alama - kwenye N piaView attachment 1034491
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiweka kwenye + zinaanza kujipandisha zenyewe kadiri unavokanyaga mafuta au? Coz sijajua zinapandaje nakat we unakua umeweka + tuM-Manual
+ Gear shift up
- Gear shift down
Yaani umiweka kirungu kwenye M hapo ukikishusha chini unaweka gear 1,2,3...manually na ukikipandisha juu - unapangua gear 5,4,3,2,1 manually
Unatakiwa kufanya kama unakigonga kirungu kuelekea chini(+) zinapanda. Ukigonga kuelekea juu(-) zinashuka. Unikigonga gear unabadilika then kinarudi position yake. D ni kushoto, ukiisukuma kulia kabisa ndio Manual hapo sasa unakigonga up and down kubadilisha gear manuallyUkiweka kwenye + zinaanza kujipandisha zenyewe kadiri unavokanyaga mafuta au? Coz sijajua zinapandaje nakat we unakua umeweka + tu
Na je D iko pembeni kushoto au ipo pale kirungu kinapogonga kulia mwisho ilipo herufi D?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka Nina Mercedes Benz E class inasumbua Sana, nahisi Kama inanyonya betri tatizo litakuwa ni nini?
Vipi kuhusu hummer 3 spare Zake nahitaji Kununua this year
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii gari ya ukweli sanaMwezi ujayo nahamia huko kwa mjeremani nataka kuagiza Bmw x1 2012..naomba ushauri wako mkuu