Tunaomkubali Donald Trump tukutane hapa

Tunaomkubali Donald Trump tukutane hapa

personal hate sio bro,

we are having fun🤗🤗🤗

📌But deep down Trump amefanya jambo jema kutukumbusha kuwa ILI INCHI IWE HAI LAZIMA TUJIBEBE,TUJITAMBUE NA TUACHE KONAKONA!!!!
Trump hajasema hayo maneno.

Pointing out the truth is not hate.

Hate is making shit up about a person.
 
Hii inatokea Marekani sio maigizo ni wakati wa watawala wa Africa’s waanze kufungua mikanda. Hii utawafanya wengi wao kuto taka kuwa viongozi. Hii inaitwa Fabio la chums. Wataanikwa wengi na pengine kuna kesi nyingi zitaibuliwa.

Sio yote anayofanya ni mazuri but mwizi anamjua mwizi mwenzake.

Corruption ndio inaua ustawi wa dunia hii.

Acha asafishe tupumzike kusikia world bank imeoza Tz million. Sijui uesaid imetoa msaada blabla.

Mjiulize mbona wafanyakazi wa haya mashirika dunia ya tatu walikuwa wanaishi lavishly life! Jibu ni corruption kuanzia huko zinatoka pesa.

Tutaanzia kuheshimiana. Utakula kwa kasho lako!
Wengi wa wafanyakazi wa hayo mashirika wanasikitika yamefungwa si kwa sababu ya kukosekana kwa huduma zilizokuwa zinatolewa bali wanasikitika kwa kukosa mishaara mikubwa na marupu rupu iliyowawezesha wao kuishi maisha ya anasa like there is no tomorrow.

Unaambiwa USAID kila mwaka ilikuwa inatengewa bajeti ya zaidi ya $40b ila zilizokuwa zinawafikia walengwa ni 30% ya pesa hizo, kuna projects kule Afghanistan ambayo ilikuwa inafadhiliwa na USAID ambapo zaidi ya $400m zilitumika kuwapa wafanyakazi hewa zaidi ya 2000.

Kufungwa kwa hili shirika ni watu wengi sana wamefurahi sio tu wamarekani mpaka waarabu, maana pesa zilikuwa zinaishia kwa wahuni wachache tu wakishirikiana na wamarekani wenyewe walikabidhiwa kuliendesha hilo shirika.

Pia Nilikuwa sijawahi kuwaza kama huu upigaji wa watumishi hewa upo mpaka kwa wenzetu huko ambao tunaamini wana mifumo thabiti
Screenshot_20250207_101705_Threads.jpg
 
Wakimbizi wengi wanategemea USAID na WFP huko Sudan waafrika wenzetu wameanza kufa njaa.
 
Mzee Bernie Sanders kaamua kufunguka kwa yanayoendelea kufanywa na Elon.

hao poorest children wana serikali zao ni muda sasa zianze kuwajibika mzee Bernie
Screenshot_20250207_165220_X.jpg
 
Kwanini usimcheki kule X ?
KULE DUNIA YOTE IMEELEKEA KULIALIA WENGINE WANAMPONGEZA WENGINE WANAGARAUKA WAKILIA HUKU WAKIBUBUJIKWA NA MACHOZI KAWAONEA BASI TAFRANI TUPU🙌🙌🙌

NAONA KULE MZEE MZIMA HATANIZINGATIA.
 
Mzee Bernie Sanders kaamua kufunguka kwa yanayoendelea kufanywa na Elon.

hao poorest children wana serikali zao ni muda sasa zianze kuwajibika mzee Bernie
View attachment 3227904
HUYO ATAKUWA MNUFAIKA WA HIZO HELA🤗🤗🤗

📌HAO POOR CHILDREN WALIJIZAA??? KWANI HAWANA WAZAZI??!!!.HUU NI UPUMBAVU KIWANGO CHA SGR KUSUBIRI MZUNGU AJE AKUCHIMBIE MASHIMO YA CHOO WEWE UJE UFUNGUE KUYATUMIA KWA MBWEMBWE ZA MAKAMERA NA MAVIETIII.
 
Wala haifurahishi,kila mtu akiwa na life zuri ndo vizur
Rushwa na ufisadi siku zote huwa zinatengeneza matabaka, utakuwa na watu wachache sana wanaishi life zuri huku wengi wakiishi kwenye umaskini wa kufa mtu na kuwatengenezea chuki dhidi ya hawa wanaoishi life zuri.

Shirika la USAID lilipeleka msaada wa $200m nchini HAITI baada ya kutokea tetemeko, lakini matokeo yake hela zote zikaishia kwa viongozi wa serikali na hazikufika kwa wahanga, wengine baada ya kugundulika wakakimbia nchi, wakaenda kuishi life zuri kwenye nchi za watu huko wakitumia pesa za misaada ambazo zilipaswa kwenda kwa wahanga wa tetemeko...!!

Kwa hiyo wanaomfurahia Trump wana sababu za msingi, ila kama na wewe umezoea kunufaika na mfumo corrupted lazima umchukie Trump na kuona anavuruga maisha ya watu
 
Mods mimi sijaomba mbadilishe kichwa cha habari.

Mmeondoa udambwiudambwi nilikuwa naukusudia kwa hadhira yangu.

Hii censorship yenu inaboa. Kama mada inawagusa hilo ni lenu ila personal feelings zenu mzitofautishe na kazi😡😡😡
 
Mods mimi sijaomba mbadilishe kichwa cha habari.

Mmeondoa udambwidambwi nilikuwa naukusudia kwa hadhira yangu.

Hii sensorship yenu inaboa. Kama mada inawagusa hilo ni lenu ila personal feelings zenu mzitofautishe na kazi😡😡😡
Mods wako makin mno na hz threads zinazozungumzia usaid,sjui kulikoni
 
Wakimbizi wengi wanategemea USAID na WFP huko Sudan waafrika wenzetu wameanza kufa njaa.
"SURVIVAL OF THE FITTEST"

📌UJINGA UJINGA WAO WA KUPIGANA VITA KILA SIKU HAWAZALISHI CHOCHOTE ALAFU WAKIFA NJAA WANATAKA NANI AWAHURUMIE.LET THEM F*CKN DIE. NO FREE LUNCH IN THIS WORLD!!!!
 
HUYO ATAKUWA MNUFAIKA WA HIZO HELA🤗🤗🤗

📌HAO POOR CHILDREN WALIJIZAA??? KWANI HAWANA WAZAZI??!!!.HUU NI UPUMBAVU KIWANGO CHA SGR KUSUBIRI MZUNGU AJE AKUCHIMBIE MASHIMO YA CHOO WEWE UJE UFUNGUE KUYATUMIA KWA MBWEMBWE ZA MAKAMERA NA MAVIETIII.
Lazima atakuwa ni mnufaika maana sio kwa hilo povu...!!

Ni muda sasa kila mtu aanze kubeba msalaba wake.

Haiwezekani nyie mzaane huku dunia ya tatu, mshindwe kuwatunza hao watoto kisha eti mtegemee pesa za walipa kodi wa marekani ndio ziwalee watoto wenu... ni uwendowazimu.
 
Mi team trump tuna maviongozi huku tz ni majinga jinga tu yanawaza ma v8, lichama lao na kutawala basi si kupambana na umasikini na namna ya kujitegemea
 
Mods mimi sijaomba mbadilishe kichwa cha habari.

Mmeondoa udambwidambwi nilikuwa naukusudia kwa hadhira yangu.

Hii sensorship yenu inaboa. Kama mada inawagusa hilo ni lenu ila personal feelings zenu mzitofautishe na kazi😡😡😡
Nakumbuka moja ya sababu iliyomsukuma Elon Musk kuinunua twitter ilikuwa ni kuondoa kabisa hizi mambo za censorship na kuruhusu free speech, alivyoinunua tu twitter akafurumusha wafanyakazi zaidi ya 7,000 hasa wale waliokuwa wanaonekana wanafungamana na mlengo wa kushoto ambao wanapenda sana mambo za political correctness na censorship.

Kwa hiyo hata mimi siku nikija kuinunua hii JF nitafurumusha moderators wote unaowaona hapa na kuruhu free speech.
 
Back
Top Bottom