Tunaomkubali Donald Trump tukutane hapa

Tunaomkubali Donald Trump tukutane hapa

Wabongo kwakupenda uteam, mshaanzisha team mpya sasa
 
Kawahiyo wakulugwa wananzengo ndo mmeamua kufanya figisu kuhusu hiyo email ya mtu mbadi TRUMPET😀😀😀😀

Hata mkifanya roho mbaya TRUMP haachii ng'ooooooo🥱🥱🥱🥱
 
Mnaye mkubali yeye hawakubali.
bado hamjasema,TRUMP lazima awafunze adabu!!!

Mnatuzalilisha sana huko duniani.MUNGU AMPE TRUMP MAISHA MAREFU ILI HII MIAKA YAKE MINNE IWE FUNZO TAKATIFU👏👏👏

📌Furaha yetu sisi ni kuona nyie MAFISADI mkibadilika na kuanza kujitambua na kujiheshimu👍
 
CCM inawatoa jasho mnatafuta faraja kwa Trump.

Maisha ya mtu mweusi yana maswali mengi sana.
 
Back
Top Bottom