- Thread starter
- #61
In one way or the other wewe ama ndugu zako pia wanatolewa jasho.CCM inawatoa jasho mnatafuta faraja kwa Trump.
Maisha ya mtu mweusi yana maswali mengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In one way or the other wewe ama ndugu zako pia wanatolewa jasho.CCM inawatoa jasho mnatafuta faraja kwa Trump.
Maisha ya mtu mweusi yana maswali mengi sana.
MWombe Putin wametoka kuongea hivi karibuni watakuwa wamebadilishana mawasiliano hata namba ya simu utapata.Trump baba unajua, unajua sana.
Hongera zako! Kaza hivyo hivyo mpaka tuseme!
Mwenye email ya Trump aiweke kwenye comment, kuna jambo nataka nimwambie. 🥱
Uzi tayari!
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake,kwa uamuzi huu,vita itakoma duniani kote,kwani wakishakula wakishiba huwa wengine wanatafuta wapi wapimie ubavu.Mzee Bernie Sanders kaamua kufunguka kwa yanayoendelea kufanywa na Elon.
hao poorest children wana serikali zao ni muda sasa zianze kuwajibika mzee Bernie
View attachment 3227904
Democrats wamekuwa wakichochea machafuko sehemu nyingi sana duniani na sera zao za kiglobalist na kujifanya wanatetea demokrasiaKurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake,kwa uamuzi huu,vita itakoma duniani kote,kwani wakishakula wakishiba huwa wengine wanatafuta wapi wapimie ubavu.
Good. Ili mjiunge na Trump na Musk kuishi kwenye disinformation space.Trump bomaye, hahaha! Tuliokuwa tunapenda CNN, BBC, ABC, MSNBC, New York Times....na takataka zingine kwa jina big media house tuhamie X maana kumbe huwa tunalishwa makapi kwa manufaa yao!
Elon na Trump wametuondolea vifungo vya kuwa misukule!