Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Trump hajasema hayo maneno.personal hate sio bro,
we are having fun🤗🤗🤗
📌But deep down Trump amefanya jambo jema kutukumbusha kuwa ILI INCHI IWE HAI LAZIMA TUJIBEBE,TUJITAMBUE NA TUACHE KONAKONA!!!!
SahihiWala haifurahishi,kila mtu akiwa na life zuri ndo vizur
Wengi wa wafanyakazi wa hayo mashirika wanasikitika yamefungwa si kwa sababu ya kukosekana kwa huduma zilizokuwa zinatolewa bali wanasikitika kwa kukosa mishaara mikubwa na marupu rupu iliyowawezesha wao kuishi maisha ya anasa like there is no tomorrow.Hii inatokea Marekani sio maigizo ni wakati wa watawala wa Africa’s waanze kufungua mikanda. Hii utawafanya wengi wao kuto taka kuwa viongozi. Hii inaitwa Fabio la chums. Wataanikwa wengi na pengine kuna kesi nyingi zitaibuliwa.
Sio yote anayofanya ni mazuri but mwizi anamjua mwizi mwenzake.
Corruption ndio inaua ustawi wa dunia hii.
Acha asafishe tupumzike kusikia world bank imeoza Tz million. Sijui uesaid imetoa msaada blabla.
Mjiulize mbona wafanyakazi wa haya mashirika dunia ya tatu walikuwa wanaishi lavishly life! Jibu ni corruption kuanzia huko zinatoka pesa.
Tutaanzia kuheshimiana. Utakula kwa kasho lako!
Life zuri mlitafute kwa kufanya kazi na kusimamia ukusanyaji kodi na matumizi yake.Wala haifurahishi,kila mtu akiwa na life zuri ndo vizur
Kwanini usimcheki kule X ?Mwenye email ya Trump aiweke kwenye comment, kuna jambo nataka nimwambie. 🥱
KULE DUNIA YOTE IMEELEKEA KULIALIA WENGINE WANAMPONGEZA WENGINE WANAGARAUKA WAKILIA HUKU WAKIBUBUJIKWA NA MACHOZI KAWAONEA BASI TAFRANI TUPU🙌🙌🙌Kwanini usimcheki kule X ?
HUYO ATAKUWA MNUFAIKA WA HIZO HELA🤗🤗🤗Mzee Bernie Sanders kaamua kufunguka kwa yanayoendelea kufanywa na Elon.
hao poorest children wana serikali zao ni muda sasa zianze kuwajibika mzee Bernie
View attachment 3227904
Rushwa na ufisadi siku zote huwa zinatengeneza matabaka, utakuwa na watu wachache sana wanaishi life zuri huku wengi wakiishi kwenye umaskini wa kufa mtu na kuwatengenezea chuki dhidi ya hawa wanaoishi life zuri.Wala haifurahishi,kila mtu akiwa na life zuri ndo vizur
Mods wako makin mno na hz threads zinazozungumzia usaid,sjui kulikoniMods mimi sijaomba mbadilishe kichwa cha habari.
Mmeondoa udambwidambwi nilikuwa naukusudia kwa hadhira yangu.
Hii sensorship yenu inaboa. Kama mada inawagusa hilo ni lenu ila personal feelings zenu mzitofautishe na kazi😡😡😡
"SURVIVAL OF THE FITTEST"Wakimbizi wengi wanategemea USAID na WFP huko Sudan waafrika wenzetu wameanza kufa njaa.
Wanazingua mno KAMA MTU HAJATUKANA WATULIE TULI.TUENJOY JF🤗🤗🤗Mods wako makin mno na hz threads zinazozungumzia usaid,sjui kulikoni
Lazima atakuwa ni mnufaika maana sio kwa hilo povu...!!HUYO ATAKUWA MNUFAIKA WA HIZO HELA🤗🤗🤗
📌HAO POOR CHILDREN WALIJIZAA??? KWANI HAWANA WAZAZI??!!!.HUU NI UPUMBAVU KIWANGO CHA SGR KUSUBIRI MZUNGU AJE AKUCHIMBIE MASHIMO YA CHOO WEWE UJE UFUNGUE KUYATUMIA KWA MBWEMBWE ZA MAKAMERA NA MAVIETIII.
Nakumbuka moja ya sababu iliyomsukuma Elon Musk kuinunua twitter ilikuwa ni kuondoa kabisa hizi mambo za censorship na kuruhusu free speech, alivyoinunua tu twitter akafurumusha wafanyakazi zaidi ya 7,000 hasa wale waliokuwa wanaonekana wanafungamana na mlengo wa kushoto ambao wanapenda sana mambo za political correctness na censorship.Mods mimi sijaomba mbadilishe kichwa cha habari.
Mmeondoa udambwidambwi nilikuwa naukusudia kwa hadhira yangu.
Hii sensorship yenu inaboa. Kama mada inawagusa hilo ni lenu ila personal feelings zenu mzitofautishe na kazi😡😡😡
Ujumbe ndio muhimuHuyu Sio Trump dude, ni AI. Trump hajasema hayo