Tunaopenda kukaa KAUNTA kwenye viti vya juu kabisa tuonane hapa

Minafiki inajiona mijitu ya maana sana, ungeuruka huu uzi kungekuwa na shida gani.Walevi mnawafatilia Kila siku ila wao hawana na habari zenu.
 
🀣🀣🀣
 
Uwa sijali nikoje mfukoni ila nikiingia Baani kaunt lazima na ninachoipendea pombe nikiinywa ya kutosha ndivyo zaidi natamani utulivu na kulala, hata hamu ngono uondoka kabisa.
Bia tamu☺️sana.
 
Kumbe mambo ya bar huyajui wewe sio
Mimi sio mnywaji wa pombe nitayajuaje na hata kama ningekuwa mnywaji siwezi chomekewa bill kizembe . lazima nijue kiasi nilichokunywa


Please embu nieleze wanawazulumu vipi au mkishaingia ndani bar akili hazifanyi tena kazi
 
Baadhi Γ½a sifa za kukaa KAUNTA.

Uwe na pesa ya kunywea bia na sio kuonja vibia vichache.

Kaunta ni ya watu wanaokunywa bia na sio wanywa soda.

Uwe na tabia ya kuwanunulia wenzako ingawa sio siku zote.

Hairuhusiwi kutongoza mwanamke ukikaa Kaunta. Awe Barmaid au mnywaji mwingine au mhudumu.
 
Kaunta pana raha, shida inaanza ukishalewa yani kile kiti unakiona kama ghorofa....
 
Mimi sio mnywaji wa pombe nitayajuaje na hata kama ningekuwa mnywaji siwezi chomekewa bill kizembe . lazima nijue kiasi nilichokunywa


Please embu nieleze wanawazulumu vipi au mkishaingia ndani bar akili hazifanyi tena kazi
Ukilewa unaweza ambiwa umekunywa bia kumi kumbe Tisa ,,,,,
Au chenji wamekurudishia kumbe hawajakupa
 
Mzigo sijaupata mpaka leo. Mkuu wapi nimesema kuwa nafanya kazi kwenye NGO?
 
Niko hapa kaunta Mat*ko bar. Npo kaunta Kwa sababu hiyo tu
 
ulijuaje ni chungu rafiki?
 
Nikienda bar yeyote natafuta angle ambayo lazima nione watu wote. Nahakikisha kila kona nitaona kinachoendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…