Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Fanya mpango wa kunitumia hii picha niichore ikae tu chumbani, nikifumbua macho nakuona wewe, nikiota zombi linanikimbiza usingizini, nikishituka nakuona wewe unanipoza munkari.
[emoji7]
Picha gani hiyo nikutumie Makaveli?
 
Mbinguni huendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] kwanza nikipewa ticket ya mbinguni, lazima niulize mara 2 ni yangu kweli? Na ikiwa yangu kweli nauza kwa mwingne. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu huu uzi wanataka picha yangu mnoo.
Wee unanijua bhana dada, watu humu wanaitaka yangu mnoo.
Had naogopa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaitaka ya kazi gani sasa?[emoji28]
Ni Wakulungwa hao?
 
Jaman wa kunyumba. Mbna picha yangu iko humu wee tazama vizuri utaona tyuuu. [emoji3][emoji3]
[emoji1][emoji23]nimetafutaa sanaa mpkaa likuyufusi kotee huko sijaionaa,,,[emoji119]
 
Sasa si ungesogea had peramiho nawee ungeiona pale mission, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kotee huko mpkaa namihoro lkn bado cjakutiaa machonii,,,[emoji1][emoji1],,,jinaa lako linanipa amsha amsha ya kutaka kukuonaa
 
Kotee huko mpkaa namihoro lkn bado cjakutiaa machonii,,,[emoji1][emoji1],,,jinaa lako linanipa amsha amsha ya kutaka kukuonaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee weka assumptions zako kichwani, uje ukutane na sicho ulichotarajia utajua hujui.

Naweka sio mda hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nini sasa kijana wangu?
Kheeeeeh "kijana wangu" hili neno unapenda sana, afu huwa unalitumia kwangu tyuuh. Mie silitaki.
Wee ita tyuuh kifupi, km hivi "nini sasa coca?" Mbna utaeleweka tyuuh.

Ndo maana tunatumia username humu. Sorry lakini ila ukweli silitaki hilo neno. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…