Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha gani hiyo nikutumie Makaveli?Fanya mpango wa kunitumia hii picha niichore ikae tu chumbani, nikifumbua macho nakuona wewe, nikiota zombi linanikimbiza usingizini, nikishituka nakuona wewe unanipoza munkari.
[emoji7]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]BASI hiyo ya mkeo [emoji1787][emoji1787][emoji1787] yakwangu weka wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DeepPond anapoza engine mama Jatatuulia ndugu yetu..
Nakadori njoo umshuhudie binamu yako anaetubania tusikulane[emoji23]View attachment 2184710
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] kwanza nikipewa ticket ya mbinguni, lazima niulize mara 2 ni yangu kweli? Na ikiwa yangu kweli nauza kwa mwingne. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbinguni huendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu huu uzi wanataka picha yangu mnoo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia Dogo!!!!
Weka picha basi..
Mongo SimiyuNaona upo beach ya wapi sijui?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu huu uzi wanataka picha yangu mnoo.
Wee unanijua bhana dada, watu humu wanaitaka yangu mnoo.
Had naogopa sasa.
Wanataka kuthibitisha wanachowaza na kuhisi. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaitaka ya kazi gani sasa?[emoji28]
Ni Wakulungwa hao?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wanataka kuthibitisha wanachowaza na kuhisi. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nitawafurahisha baadae, waridhike na nafsi zao.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Weka picha Acha maneno dogo [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu huu uzi wanataka picha yangu mnoo.
Wee unanijua bhana dada, watu humu wanaitaka yangu mnoo.
Had naogopa sasa.
[emoji1][emoji23]nimetafutaa sanaa mpkaa likuyufusi kotee huko sijaionaa,,,[emoji119]Jaman wa kunyumba. Mbna picha yangu iko humu wee tazama vizuri utaona tyuuu. [emoji3][emoji3]
Kheeeeh niweke mara ngapi sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa si ungesogea had peramiho nawee ungeiona pale mission, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji23]nimetafutaa sanaa mpkaa likuyufusi kotee huko sijaionaa,,,[emoji119]
Kotee huko mpkaa namihoro lkn bado cjakutiaa machonii,,,[emoji1][emoji1],,,jinaa lako linanipa amsha amsha ya kutaka kukuonaaSasa si ungesogea had peramiho nawee ungeiona pale mission, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee weka assumptions zako kichwani, uje ukutane na sicho ulichotarajia utajua hujui.Kotee huko mpkaa namihoro lkn bado cjakutiaa machonii,,,[emoji1][emoji1],,,jinaa lako linanipa amsha amsha ya kutaka kukuonaa
........Tuchart na pichaView attachment 2184849
Nini sasa kijana wangu?........
Kheeeeeh "kijana wangu" hili neno unapenda sana, afu huwa unalitumia kwangu tyuuh. Mie silitaki.Nini sasa kijana wangu?