Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Mbinguni huendi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] kwanza nikipewa ticket ya mbinguni, lazima niulize mara 2 ni yangu kweli? Na ikiwa yangu kweli nauza kwa mwingne. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu huu uzi wanataka picha yangu mnoo.
Wee unanijua bhana dada, watu humu wanaitaka yangu mnoo.
Had naogopa sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaitaka ya kazi gani sasa?[emoji28]
Ni Wakulungwa hao?
 
Sasa si ungesogea had peramiho nawee ungeiona pale mission, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kotee huko mpkaa namihoro lkn bado cjakutiaa machonii,,,[emoji1][emoji1],,,jinaa lako linanipa amsha amsha ya kutaka kukuonaa
 
Kotee huko mpkaa namihoro lkn bado cjakutiaa machonii,,,[emoji1][emoji1],,,jinaa lako linanipa amsha amsha ya kutaka kukuonaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wee weka assumptions zako kichwani, uje ukutane na sicho ulichotarajia utajua hujui.

Naweka sio mda hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nini sasa kijana wangu?
Kheeeeeh "kijana wangu" hili neno unapenda sana, afu huwa unalitumia kwangu tyuuh. Mie silitaki.
Wee ita tyuuh kifupi, km hivi "nini sasa coca?" Mbna utaeleweka tyuuh.

Ndo maana tunatumia username humu. Sorry lakini ila ukweli silitaki hilo neno. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom