Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Unaweza kuamini muanzisha mada ndie alianzisha ID mpya na kujiita gilesi...!![emoji23][emoji23]
Kweli sura sio roho..[emoji1787]
[emoji16][emoji16]
IMG_20211019_203555.jpg
 
Mkuu una maanisha nini kwani ukijiunga humu unasakwa na vyombo vya ulinzi mkuu nifungue inakuwaje mpaka tusakwe humu🤔
mtandao wa kijamii usiopendwa hata kidogo na watawala wa nchi hii.
Kinachowauma zaidi roho ni kuwa unamilikiwa na mzawa .
Pale mahakamani kesi dhidi ya jf za kumwaga.
Melo anapambana sana kutulinda humu .hongera kwake na mods waaminifu.
 
Du mkuu humu sio mi nilijua upo vizuri tena mambo ya kufatana ngoja niache ata niifute tu
sikushauri uiache au kuifuta , kikubwa umakini tu.
Usipende mazoea ya ajabu na kujuanajuana na watu humu , wengi ni nyoka humu.
 
Back
Top Bottom