Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Nimekumiss pia,nimefrahi kukuona

Binamu zangu hawajambo?
Binamu zako ni wazima kabisa,huyu mmoja amelala🤗🤗🤗
AUYlIH.jpg
 
Huu uzi wa kuingizana chaka.
Kama ile stori ya mume na mke tujirushe ghorofani tufe pamoja kumbe kila mtu anamtegea mwenzie ajirushe yeye abaki mzima ale maisha.

Bora kujilipua PM kwa wanao tafuta wenza in background.
kweli mkuu Uzi wa kimitego huu. Trust me kuna watu wakijichanganya wakaweka sura zao basi hatunao hao .
 
Huyo Buji mwenyewe siamini picha yake labda leo kalewa double kick.
hata Mimi si amini hizi picha . mods sijui huu Uzi wameupalilia wa nini.
Tanzania yetu hii hakuna watu so much wanted na vyombo vya usalama kama jf members.
Tuwe makini
 
Back
Top Bottom