Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Tunaopenda kutupia picha zetu halisi tukutane hapa

Anatumaga sana huyo..

Jana umepotelea wapi tena wewe?
Mbna humu nilikuwepo kuanzia SAA 4, watu nimewafurahisha humu jana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna hiyo comment ni kareee, ukiona utacheka nusu ufe uwiiiiih.
Mnisamehe tyuuj.
 
Back
Top Bottom