Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

Mkuu inabidi ufanye andiko lingine la jinsi ya kuweza kupata hayo mazao unayokusudia kabla ya masoko.
hiyo rahisi, sitegemei mvua (drip irrigation), mbegu bora yaani F1, napima udongo maabara, mbolea na dawa za uhakika, nk...ila asante kwa ushauri ngoja niongeze malengo.
 
Sijaona Hali ngumu, nikichoona
1) kutokuwa na nidhamu na pesa
2)kutokuwa Na nidhamu ya kuwekeza (all eggs in agricultural)
3)kujali Liability kuliko mustakabali wa maisha.

Tatizo ni wewe mwenyewe.

Man Of October
Hapa mkuu. Wewe ndiyo unaishi hivyo,sasa ilete katika lugha inayoeleweka kwa mleta mada ili kumsaidia katika situation aliyonayo
 
Huwa tunawaambia hakunaga baba mwenye gari, hamuelewi, mnasema kujenga nyumba ni uoga wa maisha.
 
Anaishi hivyo wapi mzee baba,wkt ye mwenyewe unga unga mwana.
Hapa mkuu. Wewe ndiyo unaishi hivyo,sasa ilete katika lugha inayoeleweka kwa mleta mada ili kumsaidia katika situation aliyonayo

dodge
 
Haaahaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polee sana! Kwangu mimi sijaona kama upo kwenye mazingira magumu sana kuliko watu wote hapa Tz

Ukitaka kuwa na furaha tazama umejaaliwa nini?
Watu wengi hudhani mafanikio ni kuwa na pesa lah!!
Kuwa na furaha ni mafanikio pia!!
Pima mafanikio sio kwa matokeo bali kwa juhudi kiasi gani umewekeza!!!

Tambua uwezo wako kiufanisi
ukiona unachangamotohapo ndipo unatakiwa utumie akili zaidi maana kwenye kichwa chako ndipo kuna furaha yako mwenyewe

Kama jambo lipo nje ya uwezo wako acha kuumiza kichwa !!!

Mungu atakupa faraja!!!!
Mungu haupi moyo mzigo isiyoweza kuubeba!!!!
Tatizo unalopitia unaweza kulitatua!!!!
Rasilimali ulizo nazo ni mbili kubwa anazo kila binadamu!!!!!!!!
1.Akili
2.Muda

Unavyotumia rasilimali hizo ndiyo kiwango cha furaha yako kitakavyokuwa!!!!!!!!!

Watu positive huona wepesi kila penye uzito

Kukata tamaa haiwezi kukusaidia
Think about solution you will win

If you think about Problem you will encounter more problems

Furaha yako ipo mikononi mwako
maamuzi juu yako!!!

Punguza mategemeo ya msaada kutoka kwa binadam mwenzio unakwenda kuomba msaada na yeye anakwama kama unavokwma wewe!!!

Dont complain!!!!
Complaining doesnt solve a challenge
people are happy not because they are wealthier than you but they de ide to be happy

Furaha yako ipo mikononi mwako
ukiweka mafanikio yako chini ya maamuzo ya mwenzio bas umepang kushindwa kufikia malengo yako...
usiku mwema.
 
Kama umenisemea mimi vile, japo tofauti yangu nawe ni kwamba mimi sina hata baiskeli ya mbao na akili ime seize kabisa yaan imefunga nawaza beyond japo sijui beyond yangu ni ipi, natamani sana ningeweza kuwaza beyond my comfort zone labda ningepata namna ya kufanya. 😔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…