Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

Sijaona Hali ngumu, nikichoona
1) kutokuwa na nidhamu na pesa
2)kutokuwa Na nidhamu ya kuwekeza (all eggs in agricultural)
3)kujali Liability kuliko mustakabali wa maisha.

Tatizo ni wewe mwenyewe.

Man Of October
Yaani anamiliki gari huku kapanga. Akili mbovu sana hii

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Nakumbuka ilikua milion 50!.unapigiwa hesabu kali za kila mpapai unazaa mapapai 20..kutoka papai had papai sentimita kadhaa eka moja mamapai km yote[emoji1787]!
Ss usiombe upepo mdogo tu ukanyemelea shamba lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]fyeee!
Acha kabisa, achana na biashara ya hayo makitu, ni hatari sana kwa afya ya akili yako. Last year nilikuwa najaribu sehemu ndogo tu, kama 20x40 hivi, nikasema ngoja nifanye hiki mnaita kilimo cha mapapai Kwa njia za kisasa.

Ikapita mvua moja matata sana wakati ndio mapapai yameshaanza kuzaa. Mungu anajua kilichotokea aisee. Hapa nakula tu ya "nyumbani".

Kilimo ni kujiwekea mabomu kiunoni.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌!
 
Wewe jamaa kilakitu kukosoa sijjaonaa kitu kinaachohusu uchumi ukasapoti au unakula kwa wazazi bule.

Man Of October
Si nilisha kwambia naishi kwa shemeji niko fulltime jobless,nashinda nimeweka poumbu juu ya sofa naangalia sinema zetu masaa 24.

Vipi wewe ambae kila kitu unaulizia mara unauza bag unalotumia kwa elfu 10,mara unataka ujitolee kufundisha huko mashuleni,mara unafikiria kufanya vibarua vya kupanda miti hujakaa sawa unakuja na story za kutafuta mteja wa kununua tani 15 za hiriki,mara dar imekushinda unataka kukimbilia mkoani,kesho unakuja na story za kutafuta vibarua vya kuosha magari,hapo hapo story za forex hukosekani,yaani daah fantasies zako ni endless.

You Never walk a talk,coz u got no balls.

dodge
 
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
mkuu simu nilishanunua tayari na kuna issue Mr alikua anaitegemea itiki jan 20 ndo tumeangukia pua
 
Pole sana ndugu, hii ni mitihani ya dunia. Bora wewe una spirit ya upambanaji. Chukulia mwenzako nikiyeshinda kuhudhuria mahakamani kwa Civil Case mwaka mzima, wife alidanganywa na mashoga zake akaenda kudai talaka kwa sababu zisizo na mbele wala nyuma. Hii imepelekea ninepoteza ajira nzuri kwani ni suala lililonijaza stress nikashindwa kufanya kazi kama zamani na ilipokuja kupunguza wafanyakazi nikawa chaguo LA kwanza. Kilichoniokoa ni kwamba nina pa kuishi ambapo yule Malaya alitaka tupauze. Almost nipo kwenye zero ingawa still najua nitasimama tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mtu atakuja kukuponda kwamba wewe ni mzembe kwa kuacha kazi kwa sababu ya mahusiano pasipo kuelewa kwamba kila mtu ana jinsi yake ya kuhimili mambo. Kuna mtu akiwa na deni la laki tano anachanganyikiwa,ila kuna mtu ana deni la milioni mia wala hana wasiwasi kabisa. Hapa najaribu kutafakari watu wanavyomjibu Capitrait naona kama siyo sawa,kwa situation yake yeye haoni mbele hivyo inampasa yule mtu Mungu aliyemjalia uwezo wa kuona zaidi yake amshauri atokaje siyo kuanza kuelezea hali za watu wengine ambao wapo vibaya zaidi. Tunatofautiana sana jinsi ya kukabiliana na changamoto mbali mbali za maisha hivyo tunapaswa kushauriana pasipo kuyazungumzia zaidi madhaifu ya watu kwa kulaumu.
 
Acha kabisa, achana na biashara ya hayo makitu, ni hatari sana kwa afya ya akili yako. Last year nilikuwa najaribu sehemu ndogo tu, kama 20x40 hivi, nikasema ngoja nifanye hiki mnaita kilimo cha mapapai Kwa njia za kisasa.

Ikapita mvua moja matata sana wakati ndio mapapai yameshaanza kuzaa. Mungu anajua kilichotokea aisee. Hapa nakula tu ya "nyumbani".

Kilimo ni kujiwekea mabomu kiunoni.
Daah pole sana mkuu.

Ila wakulima watanisamehe tu mkuu,mi washkaji/ndg zangu wooote walioenda kwenye kilimo kama kazi wote waliangukia pua(yaani hakuna hata mmoja aliyetoboa) ingawa walikua ni hardworkers hatariii na waliweka hela nzuri tu huko shambani,ndio maana kwangu kilimo ni big no aisee.

dodge
 
mkuu acha kejeli bhana mm nimesoma kidogo tu hiyo thread nikaacha
 
Daah pole sana mkuu.

Ila wakulima watanisamehe tu mkuu,mi washkaji/ndg zangu wooote walioenda kwenye kilimo kama kazi wote waliangukia pua(yaani hakuna hata mmoja aliyetoboa) ingawa walikua ni hardworkers hatariii na waliweka hela nzuri tu huko shambani,ndio maana kwangu kilimo ni big no aisee.

dodge
Haha mkuu mimi ningefanikiwa kuvuna vizuri huenda ningejikita zaidi. Huwezi kuamini nilipanda miche zaidi ya 150, nimekuja kubakiwa na miche nane. Hiyo ndio nakula kama matunda ya nyumbani tu, wakati goli langu halikuwa kula nyumbani.
 
Kuna mwanaJF mmoja hapa aliandika hivi..."kabla hujalima jiulize nani atanunua mazao yako?" nimefikisha kurasa 23 za "andiko" langu la kumjibu huyu member japo mwanzoni sikuelewa alikuwa na maana gani! Utajiri upo kwenye kilimo!
Mkuu inabidi ufanye andiko lingine la jinsi ya kuweza kupata hayo mazao unayokusudia kabla ya masoko.
 
Si nilisha kwambia naishi kwa shemeji niko fulltime jobless,nashinda nimeweka poumbu juu ya sofa naangalia sinema zetu masaa 24.

Vipi wewe ambae kila kitu unaulizia mara unauza bag unalotumia kwa elfu 10,mara unataka ujitolee kufundisha huko mashuleni,mara unafikiria kufanya vibarua vya kupanda miti hujakaa sawa unakuja na story za kutafuta mteja wa kununua tani 15 za hiriki,mara dar imekushinda unataka kukimbilia mkoani,kesho unakuja na story za kutafuta vibarua vya kuosha magari,hapo hapo story za forex hukosekani,yaani daah fantasies zako ni endless.

You Never walk a talk,coz u got no balls.

dodge
Ulijiunga JF kwa aim gani Mzee, nonsense kujiunga kwenye Forum inayokupa privacy kama hii then kuAct upo Cool sasa sibora ungekuwa GUEST tu.

Imagine kuna member kibao wanashida eti wanaona aibu kuandika humu how come mfano wewe jamaa tumejibizana sana ila tukionana hata siti moja hatutambuani.

WHAT I SAY
Inabidi ujue aim yako ya kujiunga platform kama hii, in real life am cool than anyone hata uwezo jua kama ninaandika mambo hayo JF, unajua huku JF naandika hadi kuhusu ishu za kuosha magari ila in real life wanaona hata siwezi kufanya hivyo mtu wa ofisini.

NB: that mtandao Boss not real life know your aim, to ag ct cool in high privacy platform like JF is one of the stupidity.

NB: that mtandao Boss not real life know your aim, to act cool in high privacy platform is one of the stupidity.

Man Of October
Mkuu nimefuatilia ushauri wako toka mwanzo kwa mleta mada,ila kusema ukweli unajizungumzia wewe huku ukimlaumu mleta mada.
 
Mkuu ushauri gani mbona hapa najibizana na jamaangu tunajuana.

Man Of October
 
Haha mkuu mimi ningefanikiwa kuvuna vizuri huenda ningejikita zaidi. Huwezi kuamini nilipanda miche zaidi ya 150, nimekuja kubakiwa na miche nane. Hiyo ndio nakula kama matunda ya nyumbani tu, wakati goli langu halikuwa kula nyumbani.
Hahah umepanda miche zaidi ya 150 na ukabakiwa na miche nane,aiseee hii sio mchezo kabisaaa mkuu sasa imagine ingekua ndio umekodi hilo shamba,umenunua miche,mbolea,gharama nyingine za shambani tena hela yenyewe ukute umekopa stress ambazo ungepata Mungu ndio anajua.

Miche nimenunua @2000x150=300,000, mbolea(ya ng'ombe), kiroba @2000x20=40,000, nilisaidiana na kijana kuchimba mashimo, kama 50,000 kwa kazi yake coz na mimi nilishiriki uchimbaji. Nilinunua mbolea ya kisasa 5packets @5000x5=25,000. Bado maji ya kunyweshea, bado palizi. Dadeq! Ni hasara tupu.
 
Ulijiunga JF kwa aim gani Mzee, nonsense kujiunga kwenye Forum inayokupa privacy kama hii then kuAct upo Cool sasa sibora ungekuwa GUEST tu.

Imagine kuna member kibao wanashida eti wanaona aibu kuandika humu how come mfano wewe jamaa tumejibizana sana ila tukionana hata siti moja hatutambuani.

WHAT I SAY
Inabidi ujue aim yako ya kujiunga platform kama hii, in real life am cool than anyone hata uwezo jua kama ninaandika mambo hayo JF, unajua huku JF naandika hadi kuhusu ishu za kuosha magari ila in real life wanaona hata siwezi kufanya hivyo mtu wa ofisini.

NB: that mtandao Boss not real life know your aim, to ag ct cool in high privacy platform like JF is one of the stupidity.

Man Of October
'Ulijiunga JF kwa aim gani Mzee, nonsense kujiunga kwenye Forum inayokupa privacy kama hii then kuAct upo Cool sasa sibora ungekuwa GUEST tu'

Nilijiunga kusoma mawazo ya wajinga wajinga kama wewe wenye fantasies zisizoeleweka.

'Imagine kuna member kibao wanashida eti wanaona aibu kuandika humu how come mfano wewe jamaa tumejibizana sana ila tukionana hata siti moja hatutambuani.'

Ulijiunga humu JF ili kulia lia kila siku sio?The world doesn't give a https://jamii.app/JFUserGuide about u&your shits.Nikiwa na changamoto ya kufahamu kitu fulani hua nazama PM kwa member namueleza khs interest yangu then tunapeana ushauri then am done,sina haja ya kuja kila siku hapa kulia lia jukwani.

'WHAT I SAY
Inabidi ujue aim yako ya kujiunga platform kama hii, in real life am cool than anyone hata uwezo jua kama ninaandika mambo hayo JF, unajua huku JF naandika hadi kuhusu ishu za kuosha magari ila in real life wanaona hata siwezi kufanya hivyo mtu wa ofisini.
NB: that mtandao Boss not real life know your aim, to ag ct cool in high privacy platform like JF is one of the stupidity.''

Blaza wacha maneno mengi we kama unaosha magari osha tu si ni kazi kama nyingine kuanza kujimwambafai eti in real life watu wanakuona huwezi kufanya hivyo eti we ni mtu wa ofisini,ndio maana nakwambia u got no balls to walk the talk zaidi ya kulia lia tu humu.

dodge
 
'Ulijiunga JF kwa aim gani Mzee, nonsense kujiunga kwenye Forum inayokupa privacy kama hii then kuAct upo Cool sasa sibora ungekuwa GUEST tu'

Nilijiunga kusoma mawazo ya wajinga wajinga kama wewe wenye fantasies zisizoeleweka.

'Imagine kuna member kibao wanashida eti wanaona aibu kuandika humu how come mfano wewe jamaa tumejibizana sana ila tukionana hata siti moja hatutambuani.'

Ulijiunga humu JF ili kulia lia kila siku sio?The world doesn't give a **** about u&your shits.Nikiwa na changamoto ya kufahamu kitu fulani hua nazama PM kwa member namueleza khs interest yangu then tunapeana ushauri then am done,sina haja ya kuja kila siku hapa kulia lia jukwani.

'WHAT I SAY
Inabidi ujue aim yako ya kujiunga platform kama hii, in real life am cool than anyone hata uwezo jua kama ninaandika mambo hayo JF, unajua huku JF naandika hadi kuhusu ishu za kuosha magari ila in real life wanaona hata siwezi kufanya hivyo mtu wa ofisini.
NB: that mtandao Boss not real life know your aim, to ag ct cool in high privacy platform like JF is one of the stupidity.''

Blaza wacha maneno mengi we kama unaosha magari osha tu si ni kazi kama nyingine kuanza kujimwambafai eti in real life watu wanakuona huwezi kufanya hivyo eti we ni mtu wa ofisini,ndio maana nakwambia u got no balls to walk the talk zaidi ya kulia lia tu humu.

dodge
Wewe jamaa inaoneshaa mpiga vizinga Sana uko PM alafu ni 40's age hivi

Man Of October
 
Miche nimenunua @2000x150=300,000, mbolea(ya ng'ombe), kiroba @2000x20=40,000, nilisaidiana na kijana kuchimba mashimo, kama 50,000 kwa kazi yake coz na mimi nilishiriki uchimbaji. Nilinunua mbolea ya kisasa 5packets @5000x5=25,000. Bado maji ya kunyweshea, bado palizi. Dadeq! Ni hasara tupu.
Daah si mchezo,labda hizo ndio changamoto za kilimo wanazozisema wataalamu.

Kuna jamaa yangu mmoja aliniambia kilimo ndio kila kitu we huoni mpk JK ni mkulima wa Mananasi,Pinda& Malechela wanalima zabibu Dodoma, daah nikamwambia haya mzee baba we jilinganishe na ma heavyweights wenye pension zao.

dodge
 
Back
Top Bottom