Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

Mkuu sometimes unakuwa na IQ kubwa ila unashindwa kung'amua mambo madogo sana pitia hapo juu ulivyonipinga then hapa umekuja kisapoti moja ya point yangu bila kufahamu...muda mwengine ninaandika vitu sensitive kama nilichomwambia mtoa mada ila kwasababu alishaweka akiri yake kuwa positive kupokea aina ya maoni 'pole' 'yatapita' hatoelewa nilochoandika.

Man Of October

'muda mwengine ninaandika vitu sensitive kama nilichomwambia mtoa mada'.

Unajua hivyo sensitive unavyoandika kama wewe mwenyewe havijakusaidia/hauna hela ni kama unapiga kelele tu mkuu?

dodge
 
Kijana ametoka chuo huyo,hata mwaka mtaani hajafikisha bado ana zile dream kubwa kubwa mixer kusoma vitabu vya rich dad poor dad kwa sana tu,huku akiona walioko mtaani kama vile hawajui kutumia fursa vzr/ni wavivu flani hivi.
mkuu October man ya Mungu mengi usitukane wakunga na uzazi ..........?

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
'Kwa miezi ya mwishoni mwa mwaka jana nilipoteza shambani zaidi ya sh 14,521,000 kwenye nyanya'

Mtoa mada utanisamehe,kilimo kibongo bongo ni kujitafutia umasikini tu.

Samahani lakini mkuu.

dodge
Kuna mwanaJF mmoja hapa aliandika hivi..."kabla hujalima jiulize nani atanunua mazao yako?" nimefikisha kurasa 23 za "andiko" langu la kumjibu huyu member japo mwanzoni sikuelewa alikuwa na maana gani! Utajiri upo kwenye kilimo!
 
Safi sana mkuu,kwa hio umesha-confirm kilimo kinaweza kuleta utajiri hapa bongo sio mkuu?

Kuna mwanaJF mmoja hapa aliandika hivi..."kabla hujalima jiulize nani atanunua mazao yako?" nimefikisha kurasa 23 za "andiko" langu la kumjibu huyu member japo mwanzoni sikuelewa alikuwa na maana gani! Utajiri upo kwenye kilimo!

dodge
 
'muda mwengine ninaandika vitu sensitive kama nilichomwambia mtoa mada'.

Unajua hivyo sensitive unavyoandika kama wewe mwenyewe havijakusaidia/hauna hela ni kama unapiga kelele tu mkuu?

dodge
Mpaka pale utaposhuhudia jeneza langu ndio utakuwa na haki ya kusema huyu kitu hiki kijamsaidia.

Take it.

Man Of October
 
Sasa subiri siku utakapopata DOUGH ndo uanze kutoa ushauri, la sivyo utaonekana unapiga makelele tu.

Mimi naishi kwa shemeji,masaa 24 naweka poumbu kwny kochi nikiangalia sinema zetu full time jobless, sasa sababu najua mimi ni choka mbovu ndio maana sishauri shauri watu maana ntaonekana nawapigia makelele tu.

Mpaka pale utaposhuhudia jeneza langu ndio utakuwa na haki ya kusema huyu kitu hiki kijamsaidia.

Take it.

Man Of October

dodge
 
pole sana mkuu my hubby and I tunapita kwenye situation kama yako inatakiwa tarehe 1feb tukamuone landlord ila Mungu ni mwaminifu atafanya njia pasipo na njia

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Hahah umeamua kufukua kaburi mzee baba,hapo ndipo utajua tunapolia hali ni ngumu kila mtu hua ana kipimo chake mkuu hahah.

dodge
 
Back
Top Bottom