Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena utani wa ngumi za uso, halafu ukute hapo kodi anayosemea ni malaki hase
pole sana mkuu my hubby and I tunapita kwenye situation kama yako inatakiwa tarehe 1feb tukamuone landlord ila Mungu ni mwaminifu atafanya njia pasipo na njia
Hali (situations) zinaniambia nimekwishafeli, naona km situations zinanipa both public and private insults.
Real insults and I have no power to argue. Nimebaki nainamisha kichwa chini tu na kusikilizia jinsi hali inavyouma.
Mambo yanakwama mbele ya uso wangu, mbele ya macho yangu naona. Nashuhudia mwenyewe. Roho inaniuma, nalia ndani kwa ndani kama wanaume waliavyo. I smile but don't mean it, I laugh but don't mean it. Naumia. Kilio cha wanaume.
Nakwama kuanzisha projects zangu ndogo ndogo tu. PESA sina. Nimefilisika kila kitu. Uzuri sina madeni yanayonikaba shingo, lakini kodi ya pango February kesho kutwa, sijui nitalipa nini. Oohh God simama na mimi, and make me strong forever.
Maisha ya kutafuta pesa natakiwa kuanza from 0 yaani zero, with nothing on hands.
Kweli life, are you unfair like this? Are you fighting against me? Nisamehe. You are always bigger than me, forever and ever. This punishment is bigger than me, am a little bit young and old I can't handle this intense. It's huge, very huge!
Cha ajabu Akili (brain), Moyo Mkuu (big heart) na Nafsi (Self) zinaniambia big NO sijafeli. Then, nasikia furaha kwa ndani. Lakini situations halisi zinaondoa furaha yangu ghafla. Naona sina pesa, naona siwezi hata kuanzisha ki mradi kidogo tu. Sina pesa mimi.
Kwa miezi ya mwishoni mwa mwaka jana nilipoteza shambani zaidi ya sh 14,521,000 kwenye nyanya huko Dakawa Morogoro. Hizi ndio situations zenyewe. Situations zenyewe ni hali halisi, najawa hofu kuu. Naanza kupoteza confidence, japo inside myself najiona nipo strong but weak.
Ujenzi umesimama rasmi. Nimekwama pesa. It's now very official. Wapi rafiki zangu wa karibu? Wanalia hali ngumu. Dah! Mwamba nimekamatika na mdororo wa kiuchumi. Oh God, shusha malaika wako uniokoe, wewe ndiye tumaini langu pekee.
Nina asset gani mkononi? Nina gari dogo nzuri tu. It's my last option. Hii ndio risasi yangu ya mwisho. Sitaki kuifyatua bila target, lakini naona hali halisi ikinishinda nguvu. Mungu ingilia Kati wewe ndo umebaki tumaini langu la mwisho. Nakusihi Mungu Mkuu. Sitaki kupoteza hii risasi ya mwisho. Naomba mwanga wako nipo gizani.
Nikipata mil 2 ndani ya miezi 3 naweza kurudisha labda na riba kidogo, let say 2.3ml. Wapi pesa hii hupatikana? In short hakuna. Zinapatikana kwa riba kubwa sana, ambayo sitaweza kuilipa. Otherwise atokee mtu mwema Mungu kamshukia asaidie. Ila ki kawaida kawaida hell no pesa hizo mtu hupati bila riba kubwa.
All shall pass. Kweli? Sijui.
Ma chief wa JF najua kuna wengi labda washawahi kuwakuta ya namna hii. Naomba tushauriane, nyie mlitokaje jamani? Kodi za nyumba mlilipaje? Heshima ya kumiliki pesa tena mliipataje? Mlirudi vipi kwenye form kama awali?
Tutiane Moyo na ushauri, tusaidiane tafadhali, hali ni tete sana.
Mungu Mkuu.
Mkuu sometimes unakuwa na IQ kubwa ila unashindwa kung'amua mambo madogo sana pitia hapo juu ulivyonipinga then hapa umekuja kisapoti moja ya point yangu bila kufahamu...muda mwengine ninaandika vitu sensitive kama nilichomwambia mtoa mada ila kwasababu alishaweka akiri yake kuwa positive kupokea aina ya maoni 'pole' 'yatapita' hatoelewa nilochoandika.'Kwa miezi ya mwishoni mwa mwaka jana nilipoteza shambani zaidi ya sh 14,521,000 kwenye nyanya'
Mtoa mada utanisamehe,kilimo kibongo bongo ni kujitafutia umasikini tu.
Samahani lakini mkuu.
dodge
Mkuu nilochoandika sijamkufuru mungu tatizo mkuu wangu nakeambiaga sana unapenda kuwa upande wa wengi hata kama hawapo sawa jamaa ameandika uzi nakijiandaa kidaikolojia kupokea 'pole' 'yatapit'....nilochoandika ni makosa aliyofanya na anaendelea kuyafanya mpaka alipotoa hii mada nisiandike sana.mkuu October man ya Mungu mengi usitukane wakunga na uzazi ..........?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hichi ndicho nilochoandika juu nakuonekana nipo negativeunawekeza pesa zote hizo shabani.. ushasikia kilimo kimemtoa nani hapa bongo?
Mkuu sijafanikiwa kugusa chanell za pesa bado ila najua misingi ya pesa hata iyo ndogo niliyowai kuigusa niliiwekea misingi ambayo inanifaidisha hadi Leo.Inabidi tuulize mkuu,labda yeye anaweza kutupa experience yake namna hivyo vitu alivyosema vilivyomsaidia kumfikisha hapo alipo.
dodge
Huyo Ontario mpaka kaakikisha ana mradi unaoeleweka ndio akaenda shambani tatizo sio kilimo ishu ni unapata 30M Leo unapeleka yote shamba.
inshort jamaa alijilipua kwenye kilimo cha motivation speaker akaweka mayai yote kwenye chungu kimoja then akadondokea pua ila isiwe sababu yakummangaMkuu nilochoandika sijamkufuru mungu tatizo mkuu wangu nakeambiaga sana unapenda kuwa upande wa wengi hata kama hawapo sawa jamaa ameandika uzi nakijiandaa kidaikolojia kupokea 'pole' 'yatapit'....nilochoandika ni makosa aliyofanya na anaendelea kuyafanya mpaka alipotoa hii mada nisiandike sana.
Man Of October
Umenishangaza sana ila ndio watanzania.Msamehe bure hajui aandikalo
Mkuu sijafanikiwa kugusa chanell za pesa bado ila najua misingi ya pesa hata iyo ndogo niliyowai kuigusa niliiwekea misingi ambayo inanifaidisha hadi Leo.
Man Of October