Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

Nimesoma kwa umakini hadi nilipofika 'ujenzi haujaisha, nimepoteza 14m, nina gari ndogo' nikaona umeleta thread hii kuwachora wenye hali ngumu kiukweli.
Kabisa Huyu anachora watu hapa hiyo gari ya nini si apige hata ubber kama yupo miji mikubwa. Watu wanapenda solola wenzao, na hilo Pahala la nini?
Aweke dhamana akakope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka hamna kitu kinachotucost watanzania kama kulazimisha maisha,kama wadau walivyokushauri,weka gari uber,weka nenda panga eneo linaloendana na uwezo wako ukitaka kaa tabata au sinza lazima ufeli na kodi ya laki 2 kama unafanya kilimo cha kisasa basi utakua ulikua unajiwekea akiba bank so kwa kutumia mzunguko wako unaweza fuatilia mkopo..pole komaa we mwanaume
 
Masanja mkandamizaji... ...

Sent using Jamii Forums mobile app
huko anakolima Masanjuka "Kapunga mbarali" kuna watu hakika kilimo kimewatoa hasa yaani ukimkuta mtu alivyochakaa na pesa anayomiliki haviendani kabisa. kweli ile kazi inahitaji kujitoa kwelikweli, masanja mjanja kamuweka mdg ake wa kike ndo anasimamia hiyo miradi nae yupo vizuri kiuchumi ila kachakaa kwelikweli ni balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti Kwa siku 28 alitengeneza Mil 30,ujinga mtupu.

dodge
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kale ka dogo kwa kupiga magumashi kapo vizuri kaendelee kuwadanganya akina october man
Screenshot_20200130-152432.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom