Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

Tunaopitia kwenye nyakati ngumu za kiuchumi na kimaisha, tutiane moyo!

'Kwa miezi ya mwishoni mwa mwaka jana nilipoteza shambani zaidi ya sh 14,521,000 kwenye nyanya'

Mtoa mada utanisamehe,kilimo kibongo bongo ni kujitafutia umasikini tu.

Samahani lakini mkuu.

dodge
Dah acha tu.....
 
kaka hamna kitu kinachotucost watanzania kama kulazimisha maisha,kama wadau walivyokushauri,weka gari uber,weka nenda panga eneo linaloendana na uwezo wako ukitaka kaa tabata au sinza lazima ufeli na kodi ya laki 2 kama unafanya kilimo cha kisasa basi utakua ulikua unajiwekea akiba bank so kwa kutumia mzunguko wako unaweza fuatilia mkopo..pole komaa we mwanaume
Asante sana Chief!
 
Pole sana ndugu, hii ni mitihani ya dunia. Bora wewe una spirit ya upambanaji. Chukulia mwenzako nikiyeshinda kuhudhuria mahakamani kwa Civil Case mwaka mzima, wife alidanganywa na mashoga zake akaenda kudai talaka kwa sababu zisizo na mbele wala nyuma. Hii imepelekea ninepoteza ajira nzuri kwani ni suala lililonijaza stress nikashindwa kufanya kazi kama zamani na ilipokuja kupunguza wafanyakazi nikawa chaguo LA kwanza. Kilichoniokoa ni kwamba nina pa kuishi ambapo yule Malaya alitaka tupauze. Almost nipo kwenye zero ingawa still najua nitasimama tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiingereza chote hichi umekosa kuwa na hela?kweli kiingereza bila hela ni sawa nakupiga kelele . alisema langa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela anayo huyo. Milioni 14 imepotea shambani, ana nyumba bado haijaisha na ana gari ndogo. Nyumba ingawa haijaisha ni asset na hata gari anaweza ifanya ikamuingizia hela kiuchumi bado hajafulia kwa kweli sema tu amestuck kwa sasa hajui afanye nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji819]️Gari moja ndogo, my last option [emoji848]
[emoji819]️Mungu, ndo tumaini pekee lililobaki [emoji848]

Usimchezee Mungu wetu mkuu muweza wa yote, uza kila ulichonacho wape maskini kisha umfuate... usiku utapokwisha.
 
Pole sana ndugu, hii ni mitihani ya dunia. Bora wewe una spirit ya upambanaji. Chukulia mwenzako nikiyeshinda kuhudhuria mahakamani kwa Civil Case mwaka mzima, wife alidanganywa na mashoga zake akaenda kudai talaka kwa sababu zisizo na mbele wala nyuma. Hii imepelekea ninepoteza ajira nzuri kwani ni suala lililonijaza stress nikashindwa kufanya kazi kama zamani na ilipokuja kupunguza wafanyakazi nikawa chaguo LA kwanza. Kilichoniokoa ni kwamba nina pa kuishi ambapo yule Malaya alitaka tupauze. Almost nipo kwenye zero ingawa still najua nitasimama tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana kaka.
 
Hela anayo huyo. Milioni 14 imepotea shambani, ana nyumba bado haijaisha na ana gari ndogo. Nyumba ingawa haijaisha ni asset na hata gari anaweza ifanya ikamuingizia hela kiuchumi bado hajafulia kwa kweli sema tu amestuck kwa sasa hajui afanye nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ubarikiwe sana
 
[emoji819]️Gari moja ndogo, my last option [emoji848]
[emoji819]️Mungu, ndo tumaini pekee lililobaki [emoji848]

Usimchezee Mungu wetu mkuu muweza wa yote, uza kila ulichonacho wape maskini kisha umfuate... usiku utapokwisha.
Poa
 
Hahah aisee umaskini nje nje hapo.

Nakumbuka ilikua milion 50!.unapigiwa hesabu kali za kila mpapai unazaa mapapai 20..kutoka papai had papai sentimita kadhaa eka moja mamapai km yote[emoji1787]!
Ss usiombe upepo mdogo tu ukanyemelea shamba lako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]fyeee!

dodge
 
Sijaona Hali ngumu, nikichoona
1) kutokuwa na nidhamu na pesa
2)kutokuwa Na nidhamu ya kuwekeza (all eggs in agricultural)
3)kujali Liability kuliko mustakabali wa maisha.

Tatizo ni wewe mwenyewe.

Man Of October
Ninyi ndo miongoni mwa wa bongo mtu anamweleza hali yake ya kimaisha halafu yeye anamwambia Hiyo ya kwako mbona cha mtoto? utafikiri shida ni mashindano
 
Back
Top Bottom