Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

Huyo kijana pinto Hana akili anajiropokea hajui kuwa uchunguzi ulifanyika na unaendelea asubirie mpaka mwisho wa kesi.
 
Kazi kwa mfano ya kuvunja mtandao wa kupika na kusambaza gongo kwa kiwango cha kiwanda, kukamata watengenezaji na wauzaji wa fedha bandia, wadhulumu wa ardhi za umma na wamama wajane..ndio unasema ni kazi za kishetani?
Hai haijawahi kuwa na matatizo ya ardhi maana ardhi huridhitishwa fair kihalali kabisa na hata pombe za gongo ni nadra acha uongo. Acha mahakama ifanye kazi yake huyu sabaya alikuwa muhuni na mjinga aliyekuwa anavunja sheria na aliyemtuma na kusahau kuwa mwenzake ana Kinga ya kutokushitakiwa, hapo ni fundisho ukitumwa kazi na bosi hata kama ni kuvunja sheria Bora ukatae na u resign.
 
Kuna ile sehemu katika kichwa cha mwandani ambayo ndio inahifadhi ubongo, kwako imejaa kinyesi.
 
Kwendraaaaah. Mnasherehekea bure. Ngoja muone kama hatujamset mama awe kimagufuli.
 
Sisi tunao mkubali jpm kwa mazuri yake machache ndiyo tuko upande wa Sabaya bila kujali anamakosa kweli au anasingiziwa mtusamehe kwa kweli upendo hauna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…