Tunaosimama na Sabaya hatuipingi Serikali, tunapambana dhidi ya dhuluma na uonevu kwa waliojitolea kupambania Taifa

Maovu ya Sabaya yalijulikana kwa aleyemteua, lakini kwa sababu ambazo hazijulikani, hakuna hatua zilizochukuliwa. Sasa mambo yamebadilika, hata ukimtetea vipi, maovu yake yapo wazi na waliopo kwenye mamlaka wanashangaa kwa nini tuhumu nzito kiasi hicho zilifumbiwa macho. Wewe unayemtetea Sabaya unakichafua chama, ambacho katibu wake mkuu aimetamka wazi kuwa siasa hizo za akina sabaya na mwendazake hazina mashiko.
 
Waonaje?
Badala ya kubwabwaja tu, kama wewe ni Mwanasheria nenda ukamtetee. Kama sio mtafutie mwanasheria umlishe hoja zako.
 
Yaani wewe ndio umemuharibia uyo Sabaya,kwamba hadi wewe ni mtetezi wake,

Basi nakuhakikishia Sabaya atakaa ndani hadi awamu hii ya Kwanza ya mama ipite, then awamu yake ya pili ndio kesi itaanza kusikilizwa PH....

labda dikteta afufuke
 
ULAWITI,KUBAKA NA UVAMIZI WA WATU NA KUPORA MALI NI SERA YA CCM AU NI TABIA ZA SABAYA? Si ajabu wewe ni mmoja wa waliokuwa wanatumia ofisi ya DPP kubambikia watu kesi ili watubu na mapato yaongezeke! Imekula kwenu,jipangeni upya.
 
Watu kama wewe sielewagi mnatokaga wapi. Acha kukurupuka ukifikiri watu wote wana akili finyu kama wewe. Kapumzike kwanza. Kesi zingine tunaachaga ziendelee. Watu wote wapige kelele Sabaya, Sabaya, Sabaya. Kwani MDC wako wangapi Tanzania???
 
kwa kifupi sabaya kazidi maovu ya shetani !!!
shetani kwa sabaya shetani akasome !! Nina kuhakikishia!
 
Ndugu yangu pole sana, najua ulikuwa na kamgao kidogo ila sasa kamefungwa, njoo huku Lupembe Njombe bado parachichi zipo tuvune unaweza pata hata Mia mbili ndugu yangu pole sana. Shida hizi zitakuja kutuabisha vibaya mno looh
 
Kama kutekeleza mauaji dhidi ya watu wasio na serikali upande wao ndiyo kutetea maslahi ya chama!

Kama kuwabaka na kujitwalia mabinti na wake za watu baada ya ulevi kwa mabavu ndio kutetea maslahi ya chama!

Kama kuendesha mateso, kunyofoa viungo vya wale wanaotofautiana na chama chako ndio kutetea maslahi ya chama

Basi hicho chama chako hakina tofauti na BOKO haram na makundi mengine ya kigaidi.

Ni lazima sasa vyama vyingine vya siasa vijipange kijeshi kujilinda.

Na ninyi mtakapokuwa retaliated msilalamike na ndiko tutafika huko kwa imani hizi za kijinga na mawazo ya kiimla ya kimagufuli.

Na hayo ndiyo yalimfurahisha Mungu wako magufuli
 
Mimi binafsi mkiniambia ni muungano wa ile gang yenu katika kuonyesha umoja na nguvu yenu nitawaelewa na sii vinginevyo,swala la uonevu no hamasa tu ya kuuweka pamoja umoja wenu,ni hayo tu kwaleo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…