Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Okay
 
Nmewah ona migar ya zaman hapa bongo ina namba za mikoa, nafkir TRA wangeboresha tukatumia mfumo wa namba za mikoa ingekua poa sana
Alafu pia kingine kingesaidia ni kama usajili wa namba usiwe unafungana na chasis ya gari ili mtu akimiliki namba T777AAA awe nayo milele kama domain ya website. Hata akiingiza gari mpya anaitumia. Ndo mana Dubai kuna namba zina bei kuliko gari. Unaweza kuta mtu ana rolls Royce ya dollar 500k ila akanunua namba kwa mtu kwa 1m . Mfano namba 07 ya dubai ni bei mbaya sana ukiinunua kwa mmiliki.
 
Hii imekaa poa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…