Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Nyie mnao subiria Namba E mpo nyumban kwa waume wa dada zenu mnalelewa kama dada zenu. Mwanaume mwenye akili hawez kujadiri gari kwa kigezo cha Namba kama Mwanamke.
Tafuteni pesa vijana lasivyo mtashikishwa bonet 😅
 
Tafuteni pesa vijana lasivyo mtashikishwa bonet [emoji28]
Japo sisubiri namba E lakini umeandika maneno makali sana mkuu!!

Kuna watu walikuwa hawafahamu mtiririko wa namba uko vipi, ila kupitia uzi huu wameelewa!

Umekosea mkuu!!
 
Namba E inasubiriwa kama mkesha wa mwaka mpya apa 😀😀😀
Uzi ulianza kimasihara unasogea
 
Nyie mnao subiria Namba E mpo nyumban kwa waume wa dada zenu mnalelewa kama dada zenu. Mwanaume mwenye akili hawez kujadiri gari kwa kigezo cha Namba kama Mwanamke.
Tafuteni pesa vijana lasivyo mtashikishwa bonet 😅
Unaongea kama 'hole seller'; Una maneno ya jumla jumla sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…