Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Noma kweliSidhani kama hata mwezi wa nane itafika View attachment 2195016
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma kweliSidhani kama hata mwezi wa nane itafika View attachment 2195016
Likely to be true ila sidhaniI believe june tutakuwa E
View attachment 2195196
Japo sisubiri namba E lakini umeandika maneno makali sana mkuu!!Nyie mnao subiria Namba E mpo nyumban kwa waume wa dada zenu mnalelewa kama dada zenu. Mwanaume mwenye akili hawez kujadiri gari kwa kigezo cha Namba kama Mwanamke.
Tafuteni pesa vijana lasivyo mtashikishwa bonet [emoji28]
hiyo naona cc kubwaNinayo premio kali mkuu, namba DNM
Ila cc 1999
Upo na stress za maisha.Nyie mnao subiria Namba E mpo nyumban kwa waume wa dada zenu mnalelewa kama dada zenu. Mwanaume mwenye akili hawez kujadiri gari kwa kigezo cha Namba kama Mwanamke.
Tafuteni pesa vijana lasivyo mtashikishwa bonet [emoji28]
😅😂 Hobby ya namba nyie mabinti badirikeniUpo na stress za maisha.
Watu wapo na hobby zao wewe unawashobokea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea kama 'hole seller'; Una maneno ya jumla jumla sana.Nyie mnao subiria Namba E mpo nyumban kwa waume wa dada zenu mnalelewa kama dada zenu. Mwanaume mwenye akili hawez kujadiri gari kwa kigezo cha Namba kama Mwanamke.
Tafuteni pesa vijana lasivyo mtashikishwa bonet 😅
Tusiharibu uzi wetu pendwa. Mwache abwabwaje... Tuendelee kufanya count down... Hata akimiliki namba E shemeji sisi itatosha ilimradi tufanye count down...Unaongea kama 'hole seller'; Una maneno ya jumla jumla sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakabali mzeeTusiharibu uzi wetu pendwa. Mwache abwabwaje... Tuendelee kufanya count down... Hata akimiliki namba E shemeji sisi itatosha ilimradi tufanye count down...
Labda wa nane huko, Dza hadi kufika dzz kuna gari karibu 23000Likely to be true ila sidhani
Lile gari lako ni namba A[emoji28][emoji28][emoji23] Hobby ya namba nyie mabinti badirikeni
TRA walisema wanasajili gari 3000 kwa siku.Labda wa nane huko, Dza hadi kufika dzz kuna gari karibu 23000
TRA walisema wanasajili gari 3000 kwa siku.
Sorry. Nilimaanisha kwa mwezi.Kama hivo si mwezi tu tungekua tunamaliza herufi?? Sio kweli kama hio DZ ilitakiwa iwe imeisha tuanze na E
Naombea ifike okt au nov ili kina sie wenye namba b resale yake isishuke sana 😀I believe june tutakuwa E
View attachment 2195196