Zipo kwenye system tayari,kesho unaziona mtaaniBila picha ni majungu
Zipo kwenye system tayari,kesho unaziona mtaani
Nunua gari acha wogaHakuna asiyejua within two coming days tutakuwa na number E wito wangu: watu wa number D shusheni bei magari
Nunua gari acha woga
DZZ nimeiona mtaani muda huu
Unaleta na picha mkuu ili mioyo yetu isuuzike[emoji23]DZZ nimeiona mtaani muda huu
Mtaani kutajaa namba E zimechoka sanaUnaleta na picha mkuu ili mioyo yetu isuuzike[emoji23]
Huwezi amini natembelea chassis number kwa zaidi ya miezi 6 sasa
Naombeni zawadi yangu jamaniJ3 ukurasa mpya. heko kwake aliyetabiri mwezi wa nane hautoisha
Hio gari unanunulia Mwanza ama? Dar namba DY ni gari ya 13.5MNamba E Inaenda kunibariki ka-premio namba DY kwa 7 M
F hadi raisi mwengine aje na kuondoka madarakani😂😂😂E imekuja. Tunaosubiri namba F tujuane🤣🤣🤣
Hahahah hapo lazma wajanja watategea E isogee sogee kidogo. Natabiria gari zitafika EAD ndani ya week mbili tu za kwanza.Kuna gari kama 2,000 zinasubiri namba E. Soon EAA itaonekana kama DZZ
Leo nimeona DZZ namba 600DZY imeshatoka nimeiona leo tena namba 500 plus ina maana mpka wiki ijayo Ijumaa namba E zitakuwa kitaani. Nilivuta gari Zenji nilikuwa nasubiri namba E niivushe majini
Wala hii itachukua zaidi ya miaka 102030