Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Hv kwa mfano mtu umeplan labda upate namba DZZ utajuaje ipo apo hili upate gari la namba hyo
Mkuu hizi namba zinaenda kwa Mahesabu yaki PROBABILITY _

kama uliisoma vizuri probability tafuta solution utafanikiwa 😂😂😂😂

Nafikiri ni automated systems iko based on probability ..
.
 
Tena ikifika mwaka huo ndio safi, naanza kuchanga kibubu taratibu niibuke na chuma mwaka 2023
Kwa hicho kitambi kwenye avatar mkuu hiyo pesa kwenye kibubu utakula... weka fixed deposits bank mapaka kufika mwaka huo
 
Mkuu hizi namba zinaenda kwa Mahesabu yaki PROBABILITY _

kama uliisoma vizuri probability tafuta solution utafanikiwa 😂😂😂😂

Nafikiri ni automated systems iko based on probability ..
.
Mkuu hii siyo probability, number zinaenda kwa sequence, kuna mchezo wa kutegesha watu wanawapoza watu wa registration ikifika number anayotaka anapewa. Ndipo serikali ikaja na hiyo kulipa 500k upate number yoyote ya mbele.

Kuna jamaa kadhaa nawafahamu, magari yao yote huwa T999 XXX, Mwingine Muby 07 yeye hutegea T777XXX,

XXX Stands for lettet zilizopo wakati huo.

Hiyo michezo ipo sana.
 
Kwa hicho kitambi kwenye avatar mkuu hiyo pesa kwenye kibubu utakula... weka fixed deposits bank mapaka kufika mwaka huo
Kweli kabisa mkuu, hili tumbo nikipiga hesabu basi kuna fuso ndani humo imekaa
 
Mkuu hii siyo probability, number zinaenda kwa sequence, kuna mchezo wa kutegesha watu wanawapoza watu wa registration ikifika number anayotaka anapewa. Ndipo serikali ikaja na hiyo kulipa 500k upate number yoyote ya mbele....
Sawa kabisa.
 
Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV...
Si Bora ata wewe mkuu unasubiri namba E,, wengine ata atujui kudra za Rahman zitatuangukia namba ipi😅😅😅😓Ila kikubwa uhai
 
Utasubiri sana. Kuna gari imesajiliwa January 1 2021 ni DV. Sasa piga hesabu sahivi ndio ipo DW, DZ itafika lini?.
 
Back
Top Bottom