Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Tunaosubiri namba E tukutane hapa

Hivi upya wa gari unategemea Registration ya Number plate?

Kuna mtu atanunua STK kwenye mnada na itakuja kusajiriwa kwa Namba E, vip utai-term kama gari bora kwa maana ya upya?
Mbona kama design fulani uboya uboya hv!!
We jamaa bhna...kwani gari bora unaangalia number plate? Aisee mambo mbona mazito hivi asee
 
Hivi
1638174514368.jpg
 
Namba D zimekaa miaka mingi, tangu 2012 mpka leo, takribani miaka 9 na ushee...

Namba D ndo inaishia ukingoni, Jana Gari zilizosajiliwa zilikua DWV.

View attachment 1888026


Sijui kwa herufi moja huneba magari mangapi mpk kuhamia herufi nyingine...
Nilisikia sijui ni magari 1000, yani ukitoka DW kwenda DX..

Jana tumesikia magari zaidi ya 3000 yameingia kwa mkupuo, ofcoz sio yote ni ya TZ, ila i bet 2000 yatakua ya hapa Tz...[emoji3]

Kwa idadi hiyo basi DZ inaingia mtaani mwezi huu na kudumu kwa miezi miwili...

Namba E rasmi October, D inakua yazamani [emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna ambae anasubiri namba E kama mimi tuvute mkoko japani????
Wabadilishe kabisa mfumo wa T number
 
Back
Top Bottom