Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

Lazima uamke usiku kabla baba hajaamka kwenda kumsalimia usipofanya hivyo jua kesi hiyo!
Watoto Ni lazima wajifunze Na kusalimia kwa kikurya!
Yeah huo ndiyo utaratibu wetu sisi mtoto anaamka mapema kabla wazazi (haswa baba ) kwenda kusalimia na ni kikurya sio kiswahili

Tata isakuru chacha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni wakutoka mara, kurya pure ila mleta mada unaonekana una low self esteem, jikubali yaani kujitambulisha wewe mkurya unaona ni changamoto?? Mura ulatughwisya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mura ntaghambere igho

Changamoto nipale wanapoanza kukuona kama mtu KATILI yaani kila baya kabila lako, saivi naona kawaida mura waito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i am typical kuryan na am proud for this....lakini mila za kule kwetu bana siziwezi...nashukuru nimezaliwa na kukulia kilimanjaro
Contradiction .proud to be typical kurya but unashukuru kuzaliwa na kukulia Kilimanjaro. Which is which [HASHTAG]#tangana[/HASHTAG]?
Mila za kukata mapanga utapeleka Moshi? Leave as Roman leave.
 
Sawa mkuu Ndio mkoa maskini tumekubali, lengo la mada sio battle na mikoa mingine ya kanda ya ziwa kwa wewe unavyotaka iwe, jaribu kusoma mada uielewe
Kuna watu humu jamiii forum wanapenda makuu sana mtu anaanzisha ushindani pasipo na sababu yoyote

siyo lengo la hii maada

Ila hao ni wa kupuuzwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah huo ndiyo utaratibu wetu sisi mtoto anaamka mapema kabla wazazi (haswa baba ) kwenda kusalimia na ni kikurya sio kiswahili

Tata isakuru chacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Na wakubwa Mbuya muraa! [emoji23] [emoji23] ila kwa hawa watoto wanaozaliwa Na kukulia mjini siku hizi wanaamka ile asubuhi kusalimia kwa shingo upande
 
Wakurya wamewekeza sana nje ya kwao.
Hayo maeneo unayotaja madon ni wakurya.
Mkurya na mchaga ni marafiki sana kibiashara.
 
Uche mula

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Wakurya wamewekeza sana nje ya kwao.
Hayo maeneo unayotaja madon ni wakurya.
Mkurya na mchaga ni marafiki sana kibiashara.
Huyo mchangiaji anasema wakurya tunakimbia familia zetu

Kwahilo inabidi aombe radhi kabisa wakurya hatuna hiyo tabia ya kukimbia familia
Hata **** mtu ameenda kutafuta maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta mada hebu tuambie. Kwa nini wapare wanapenda kuolewa Mara? Pia Dada wa kirangi wanaolewa sana kwenu Musoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…