Tachu hano
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 1,506
- 2,518
- Thread starter
- #61
Yeah huo ndiyo utaratibu wetu sisi mtoto anaamka mapema kabla wazazi (haswa baba ) kwenda kusalimia na ni kikurya sio kiswahiliLazima uamke usiku kabla baba hajaamka kwenda kumsalimia usipofanya hivyo jua kesi hiyo!
Watoto Ni lazima wajifunze Na kusalimia kwa kikurya!
Tata isakuru chacha
Sent using Jamii Forums mobile app