Tunaotoka mkoa wa mkoa wa MARA njoo hapa

Kwa kupitapia kwangu mkoa wa Mara...kwanza kuna makabila mengi (japokuwa lugha zinaingiliana ambapo kwa mikoa mingine yangekuwa makabila mawili ama manne ila nadhaa inatokana na koo) alafu makabila hayo mengi yana msimamo yaani wakisema "hapana" wamemaanisha "hapana" na wakisema "ndiyo" wamemaanisha "ndiyo".

Katika pitapita zote hizo nimegundua Wakurya wanajiamini kuliko wote japokuwa sie wengine tunawaona wote...kingine makabila ya kule hasa Wakurya sio wanafiki asipokufagilia ni kutoka moyoni na akikufagilia ni kutoka moyoni.

Kingine hii tabia ya kugechana au kugecha watu aka mapanga shaa ni kukuzwa tu na kuonekana jamaa ni wakatili lakini kw uzoefu niliouona kule ..yaani mpaka Mkurya akugeche (hasa kwa mgeni) atakuwa amekupa warning mara kadhaa ila usiposikia alafu ukaingia kwenye kumi na nane zake ndio hizo unachezea panga lakini hakukati panga kama hujamvimbia na hawana ya mambo ya mtu anatoka kwake anamfuata jirani yake kumgecha (lazima kuwe kuna tukio ambalo either kaweka mtego wake either wa ugoni na kwa asilimia mia ana uhakika

Ukiona mtu kagechwa / kapigwa panga ujue amekosea kweli na warning juu kapewa lakini ni watu wapole sana na wakarimu kama utaishi nao kwa misingi ya kutowakosea hasa kwenye kumchukulia binti yake ama mke wake (kwa wageni) Sema adhabu zao ni kali na tukio likitokea linakuwa tukio kweli otherwise hata sehemu zingine kuna matukio sema hayafikii huko
 
Sema pombe Ndio huwa inawapoteza vijana wengi wa kikurya, hii kitu pombe nimeshuhudia kwa ndugu zangu wa 3 imewapoteza kwenye ramani ya maisha kabisa
 
Mbona hapa Kenya mabinti hawachukulii wakuria kama katili jinsi watanzania mnavyochukulia. Na ilhali nyinyi watanzanaia mnadai eti hamna ukabila. Kumbe heri nibaki apa Kenya nipate kuoa kabila lolote ninalolitaka kuliko kuja tz niambiwe ati kabila langu katili.

Proud to be Kenya
Proud to be a pure kurian
Bhasach

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabebez wa Mara wa like nifanye window shopping hapa
 
Back
Top Bottom