Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

Atakuja kusema wewe ni LIKUD 😂😂
 
🤣🤣🤣🤣 umebadili tena gia angani. Mwanzoni ulisema Imamu wa msikiti wa Ukwamani anaitwa Sheikh.. Abdallah Abeid, umepigwa kofi moja la uso umebadilisha tena jina amekuwa tena Sheikh Msafiri.

Hii kali ya mwaka. Au siku hizi waislamu na sisi tunabatizwa tunakuwa na majina mengine.

🤣🤣🤣🤣
 
Niko sure kwa 95% kwa aina yako ya kujitetea na uandishi wewe sio mdaslamu ni mgeni tu kama mimi.

Ni ama unatokea kusini au kanda ya ziwa kama asemavyo LIKUD
 
🤣🤣🤣 wacha bana. Kamata mwizi meeh!.
Kamata Mwizi wakati NIMEKUUMBUA Pumbavu na Mwendawazimu Wewe?

Ona sasa Ulivyoaibika na Unavyochoreka. Haya upeu sana ondoa ile Picha uliyoweka ukidai ( tena kwa Kujiamini Kipumbavu ) kuwa ndiyo Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe wakati siyo Yeye kisha rudi kwa aliyekudanganya shikaneni Mikono ns Wote jiiteni Wapumbavu Waandamizi sawa?

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Niko sure kwa 95% kwa aina yako ya kujitetea na uandishi wewe sio mdaslamu ni mgeni tu kama mimi.

Ni ama unatokea kusini au kanda ya ziwa kama asemavyo LIKUD
Nimeshamthibitishia Basha wako kuhusu nani ni Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe hivyo nakuomba mwambie Basha wako uliyemtaja hapa nae athibitishe wake.

Pumbavu na leo nimemuumbua mno.
 
Mna kabattle kenu katamu mkuu nipigie mbwa hii hahahah
 
Atakuja kusema wewe ni LIKUD 😂😂
Anayekuweka au?

Tafadhali nimempa Taarifa Kamili huyo Basha wako juu ya nani ni Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe hivyo mwambie na Yeye ( Basha Wako ) aweke Uhakika wa Taarifa yake.

Idiot.
 
Mna kabattle kenu katamu mkuu nipigie mbwa hii hahahah
Naweza kuwa na battle na Mpumbavu kama Yeye? Si alikuha hapa kutaka Kuniumbua kuwa simjui Imamu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe Mzee Sheikh Abdallah Abedi ( Baba wa Marehemu Rafiki yangu Hamadi ) na baadhi ya Wapumbavu Wenzake mkamuamini sasa nimempa Uthibitisho wa Kitaarifa hivyo namuomba nae alete wake ili nimuumbue zaidi.
 
Niko sure kwa 95% kwa aina yako ya kujitetea na uandishi wewe sio mdaslamu ni mgeni tu kama mimi.

Ni ama unatokea kusini au kanda ya ziwa kama asemavyo LIKUD
Wala sio mgeni mkuu huyu hata Dar yenyewe hajawahi kufika ndio maana anatumia nguvu nyingi sana kuaminisha watu hapa jf kwamba amewahi kufika dar.

Mkuu hujiulizi?.hapa jf hakunaga member anae tumia fake ID anae weza kutaja mahali anapo ishi. Ila huyu jamaa kila siku kuitaja kawe simply kwa sababu haishi Dar wala hajawahi kufika dar maisha yake yote..


Mbinu anayo tumia kuwaaminisha watu kwamba amewahi kufika kawe ni mbinu ya kitoto kweli.

kwa sababu anapenda sana kusikiliza redio na kwenye redio taarifa nyingi kuhusu maeneo mbalimbali zina ripotiwa, mfano kero n.k.

Sasa yeye anacho kifanya kwa mfano asikie mtu anasema " Naitwa Chesco anaishi hapa Kawe Ukwamani karibu na gereji inaitwa mfano " MOGADISHU GARAGE" kero yangu Mimi ni kuhusu uchafu unao tupwa viwanja cha Tanganyika Packers.."

Yeye atakacho kifanya atatunga story yake halafu kwenye hiyo story yake ata mention hiyo MOGADISHU saloon na dampo la Tanganyika Packers. So kwa wenyeji wa kawe wa hapa jf wakisoma kisa cha huyu mtoa mada wataona ukweli kwa sababu ameyataja maeneo ambayo yanajulikana..

Ndio maana kwenye hiki kisa chake cha mchongo anaongea vitu kama " Sheikh Msafiri anaishi nyuma ya benki ya Crdb iliyopo karibu na let's say kituo cha mafuta cha lets say lake oil. Yani anakuwa ana BABAISHA babaisha.


Hichi kisa anacho kisema inawezekana akawa amesikia habari kwa juu juu eidha mtu anatangaza tangazo la kifo cha Imamu wa msikiti wa Kawe akamtaja na jina so yeye alicho kifanya amechukua jina la Imamu halafu akatengeneza story yake akajichomeka kwenye story ili aonekane na yeye amewahi kufika dar lakini ni uongo. Itakuwa amesikia vibaya hana taarifa sahihi. Ndio maana nimembana hapa apost picha ya Marehemu ameshindwa anabaki kulalamika kwa mods.
 
Uthibitisho upi huo? Weka picha ya Marehemu Hamad tuione hapa wacha blah blah wewe bushman
 
Mm sina upande ila yy nampenda anaongea kwa staha.
 
Anayekuweka au?

Tafadhali nimempa Taarifa Kamili huyo Basha wako juu ya nani ni Sheikh Mkuu wa Msikiti wa Ukwamani Kawe hivyo mwambie na Yeye ( Basha Wako ) aweke Uhakika wa Taarifa yake.

Idiot.
Kama umepatia jina la Imamu wa msikiti utakuwa umesikia kwenye matangazo ya vifo mkuu muogope Mungu wewe hauishi Dar bana hata mwandiko wako tu unajionyesha.

Umeambiwa upost picha ya Hamad huposti wala nini kwa sababu taarifa yako ni ya uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…